Mahakama ya kadhi nini maoni yako

Mahakama ya kadhi nini maoni yako

Waislam Kama mahakama ya kadhi itawafanya muende peponi nawashauri tafuteni njia zingine tuliache taifa letu salama, hii mahakama watu wengi wameikataa na imeleta mvurugano mkubwa, tusilipe taifa vitu ambavyo havihitajiki, tengenezeni mahakama yenu nje ya katiba yetu, Kama ilivo swala tano Hakuna anaewakataza basi na hio mahakama ya kadhi iwe hivo nje ya katiba, angalia alshabaab wanavoua wakenya, bado huko moshi watoto 147 wana chukua mafunzo msikitini hali hio inawatisha watu kukubali sheria za uislam kuingizwa kwenye Katiba. Tuendelee vile vile serikali haina dini

Bora wewe umenena ukweli, nchi hii haina dini, tudumishe amani na utulivu na upendo utawale baina ya watanzania wote.
 
Back
Top Bottom