Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Mbwa kula mbwaMafisadi wenyewe ndio wameanzisha mahakama. Unategemea nini
Hiyo Mahakama iko wapi? Na Majaji wake ni akina nani? Na kesi zinazoendelea ni zipi?Mahakama kuu division ya rushwa na uhujumu uchumi, mbona ipo na inafanya kazi kama kawaida
unasubiria updates zake kwenye page za Diamond na zuchu?sijaona chochote no any updates
Kama Basil Mramba alivyozikarabati jela za Ukonga na Keko, pia kununua mabasi ya Magereza baadaya kuona kengele lakutiwa hatiani likilia kichwani mwake.Mafisadi wenyewe ndio wameanzisha mahakama. Unategemea nini
Mahakakama ipo mawasiliano (Simu 2000), nenda pale utapata majibu ya maswali yako mawili yaliyobaki.Hiyo Mahakama iko wapi? Na Majaji wake ni akina nani? Na kesi zinazoendelea ni zipi?
Wewe uliyekwenda yajibu hayo. Mahakama siyo majengo bali ni mfumoMahakakama ipo mawasiliano (Simu 2000), nenda pale utapata majibu ya maswali yako mawili yaliyobaki.
Mimi sikwenda pale kwa ajili ya kujua majaji waliopo hapo ni akina nani wala sikukwenda kwa ajili ya kujua kesi zinazoendelea pale, wewe unayetaka kujua hayo nenda pale, fanya utaratibu wa kuingia kwenye ofisi ya Naibu msajiri utapata majibu ya maswali yakoWewe uliyekwenda yajibu hayo. Mahakama siyo majengo bali ni mfumo
Pale kuna majengo tu ya Mahakama ya MafisadiMimi sikwenda pale kwa ajili ya kujua majaji waliopo hapo ni akina nani wala sikukwenda kwa ajili ya kujua kesi zinazoendelea pale, wewe unayetaka kujua hayo nenda pale, fanya utaratibu wa kuingia kwenye ofisi ya Naibu msajiri utapata majibu ya maswali yako