Mahakama ya mafisadi, na msemo wa mchimba kisima huingia mwenyewe.

Mahakama ya mafisadi, na msemo wa mchimba kisima huingia mwenyewe.

Kipindi cha JK alikuwa anawashughulikia pale ambapo kelele zimekuwa nyingi,anawatia kadhaa wa kafara issue inaisha!Hao walikuwa scape goat!
Alikua mtu wa visasi kama wana CCM wenzake ila tofauti na wenzake yeye anajichekesha chekesha huku anakushughulikia.
 
Kwahiyo tangu Dr Slaa arudi CCM hakuna fisadi aliyefungwa jela?
mimi nafuatilia zaidi udhibiti wa mafisadi. na hadi sasa sijaona fisadi aliyeonja jela ingawa naona bado wapo wanapeta huku wengine wakipewa vyeo mbalimbali na tumeshuhudia baadhi ya wakisifiwa hadharani na JPM mwenyewe kuwa ni watu wazuri, wapole, waungwana na hawakumtukana wakati wa kampeni.

kuhusu Slaa kwa kweli hata sijui yuko wapi sasa hivi...nachokumbuka last time alikwenda Canada kwa hasira baada ya kunyimwa kugombea uraisi kwa tiketi ya upinzani. baada ya hapo sijui - kwani karudi CCM?
 
Faru John anamuogopa Lowassa?

Dr. Dau?

Mkapa?

Andrew Chenge..!
 
Back
Top Bottom