mimi nafuatilia zaidi udhibiti wa mafisadi. na hadi sasa sijaona fisadi aliyeonja jela ingawa naona bado wapo wanapeta huku wengine wakipewa vyeo mbalimbali na tumeshuhudia baadhi ya wakisifiwa hadharani na JPM mwenyewe kuwa ni watu wazuri, wapole, waungwana na hawakumtukana wakati wa kampeni.
kuhusu Slaa kwa kweli hata sijui yuko wapi sasa hivi...nachokumbuka last time alikwenda Canada kwa hasira baada ya kunyimwa kugombea uraisi kwa tiketi ya upinzani. baada ya hapo sijui - kwani karudi CCM?