Majitha
Member
- Jan 4, 2016
- 17
- 8
Sijui kama hili limewakumbuka na wengine au lakini hali ya Mahakama ya Mwanzo Bunda si shwari. Walalamikaji wanapokwenda kusikiliza kesi zao wanachangishwa pesa ya kununua mafaili @ 1500 na bila kutoa hiyo pesa fail yako haiwezi kusomwa.
Mtu anayekusanya hizo fedha ni karani jina na picha tunamhifadhi. Ili kulinda heshima yake. Tunachoomba mahakama nunueni hayo mafail na karatasi pia za kuprintia tunaambiwa wateja hakuna ili tukanunue wenyewe.
Sidhani mahakama kama mnakosa fungu la kununua mafaili au karatasi,