Mahakama ya Rufaa: Ukishindwa uchaguzi, shitaki mwenyewe

Mahakama ya Rufaa: Ukishindwa uchaguzi, shitaki mwenyewe

Be that as it may, I still think any issue relating to election petition is an issue of public interest.

I just don't see how an election petition cannot be of public interest.

If we're arguing not according to the law, but according to our opinion, then I might agree you.

There are valid reasons for any elector to be able to sue an elected.

The right to vote would be merely abstract if the right to sue to enforce it was not guaranteed in law.

Thus, it follows that standing in challenges to the outcome of elections should be granted as widely as possible.

In the United Kingdom, where we derived ours laws, an elector or candidate can bring an election petition at the election.

One of the reasons for this is that there will not always be a candidate at every election to bring a petition, for example, in uncontested elections.

However, to require that petitions may be presented by individuals (electors or candidates) and that a successful candidate is made a respondent makes the petition process closely analogous to a private legal action and not a public action.

Also, seeking elected offices is still an individual endeavour. The public does not force someone to context in an election.

The essential features and structure of the law has also not developed and so election petitions still remain a private matter.

.
 
Actually naandaa mjadala huo, nipe masaa machache nitauweka; nadhani humu si muktadha sahihi; vinginevyo nilicho maanisha katika mjadala wetu wakati ule ni kwamba kura za mjini pekee hazitoshi kuipa Chadema ushindi 2015;

I agree.Bila shaka nitashiriki mjadala utakaouleta.
 
EMT,

... Hii haikuwepo hapo awali .. "kwa vile unasema ..kuanzia leo"
... Kwa nini hapo awali kanuni hiyo ilikuwa valid and not now!!!
... Misukumo gani inapelekea kubadilisha hoja kama hizo!!

kuna kitu knaitwa "source of law" kwa hyo mahakama zote duniani ni source of law, kosa lolote ambalo ni jpya kutokea mahakama ina hak ya kultungia sheria. Tafta mwanasheria atakuelezea vzur khs sourc of law.
 
According to my Black's Law Dictionary, public interest is "an expression which indicates something in which the general public or the community at large has some pecuniary interest, or some interest by which their legal rights or liabilities are affected".

What does a "general public" or a "community at large" mean?

How would the legal rights or liabilities an elector in Ngara constituent be affected by an election petition in Arusha Urban constituent?
 
I hope it will. But the Legislature can still overrule this decision by enacting a new law to the contrary. Parliamentary supremacy. Unakumbuka ile kesi ya Mtikila na suala zima la mgombea binafsi? Mpaka Mwalimu Nyerere akasema:

"Unaomba ubunge au chochote kile upigiwe kura na hata urais, ni haki yako ya uraia. Huwezi kunyimwa. Maadam wewe ni raia wa Tanzania kisiasa una haki ya kuomba uwe rais.

Ukiwa katika chama ama haupo katika chama. Unayo haki inayotokana na uraia wako ya kupiga kura na ya kupigiwa kura ambayo haiwezi kudaiwa na mtu ambaye si raia waTanzania…Sasa sheria inawanyima raia wa Tanzania haki hiyo.

Mwalimu akaendelea, “Mtu mmoja [Mchungaji Mtikila] akaenda mahakamani kudai haki hiyo akasema sheria hii si haki, jaji mmoja akahukumu akasema naam, si haki. Haki hii iko katika katiba. Sasa serikali wakafanyaje? Badala ya kukubali uamuzi wa jaji, kwa kweli walichokifanya ni kuifuta."

Na akaongezea.. "Huwezi kufuta haki ya/za raia sababu tu ya political inconvinience!!!, utafuta ngapi?"
 
hii ni indicator ya mabadiliko ya fikra kwa wenye dhamana ya haki. wasitoe haki bila kufikiria. Hapa wametufumbua macho. Wafanye hivyo hivyo hata kwa kesi za wafanyakazi
 
[video=youtube_share;MbRCCUPbltM]http://youtu.be/MbRCCUPbltM[/video]
 
Hivi kwenye mfumo wetu hakunaga dissenting opinion?

Ni lazima wote wawe na opinion sawa?

Manake kwenye hukumu ya leo nimeona wote kama vile wameiandika kwa pamoja hiyo hukumu.

Ingependeza sana kama kila mmoja wao angekuwa anaandika opinion yake....

Mnaandika different opinions only kama mna a different view. Kwa hiyo kama wamekubaliana, hamna haja ya kupoteza muda!
 
I hope it will. But the Legislature can still overrule this decision by enacting a new law to the contrary. Parliamentary supremacy. Unakumbuka ile kesi ya Mtikila na suala zima la mgombea binafsi? Mpaka Mwalimu Nyerere akasema:

"Unaomba ubunge au chochote kile upigiwe kura na hata urais, ni haki yako ya uraia. Huwezi kunyimwa. Maadam wewe ni raia wa Tanzania kisiasa una haki ya kuomba uwe rais.

Ukiwa katika chama ama haupo katika chama. Unayo haki inayotokana na uraia wako ya kupiga kura na ya kupigiwa kura ambayo haiwezi kudaiwa na mtu ambaye si raia waTanzania…Sasa sheria inawanyima raia wa Tanzania haki hiyo.

Mwalimu akaendelea, “Mtu mmoja [Mchungaji Mtikila] akaenda mahakamani kudai haki hiyo akasema sheria hii si haki, jaji mmoja akahukumu akasema naam, si haki. Haki hii iko katika katiba. Sasa serikali wakafanyaje? Badala ya kukubali uamuzi wa jaji, kwa kweli walichokifanya ni kuifuta."

Huyu jamaa alikuwa muhuni tu! Yani aliona huu uovu wote unatendeka alafu akaa kimya tu! Ni sawa na baba aone mtoto wake anaiba alafu aanze kuongea kwa mafumbo tu! Hovyo kabisa...
 
What does a "general public" or a "community at large" mean?

How would the legal rights or liabilities an elector in Ngara constituent be affected by an election petition in Arusha Urban constituent?[/QU
Within an area of jurisdiction, na ww usiwe kama hujaona darasa.

you think.
 
Back
Top Bottom