6 April 2023
Mahakama ya Rufaa Tanzania
Dar es Salaam, Tanzania
Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania chini ya jaji J.A Koroso baada ya kusikiliza rufani ya Mussa R. Magae, imetoa hukumu ya kumuachia huru Mussa Ramadhani Magae baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kushindwa kushawishika na mashtaka ya kesi iliyofunguliwa na mamlaka ya kupambana na madawa ya kulevya - DCEA dhidi ya Mussa Ramadhani Magae .
Mtuhumiwa alidai haki haikutumika haki wakati wa - utaratibu wa ukamataji chini ya kifungu cha mwenendo wa mashtaka ya jinai CPA, pia GPO, gwaride la utambulisho na ushahidi wa upande wa mashtaka n.k
Ilidaiwa tarehe 14/9/2017 katika mji mdogo wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Tanzania mtuhumiwa alikamatwa na madawa ya kulevya na vigae vinavyotumika ktk biashara ya kuuza madawa ya kulevya
Mtuhumiwa alikata rufaa kupinga kifungo cha miaka 30 jela na faini ya shilingi za kitanzania Tshs. 500,000 .... alichopewa katika mahakama ya chini hivyo akachukua hatua kukata rufaa mahakama ya juu kutafuta haki yake :
Allegations found in the second count, are that on the same date, and in the same area as in the first count the appellant was found in possession of narcotic drugs namely cannabis sativa commonly known as bhangiweighing 2.88 grams. In the third count, it was alleged that the appellant on the same date and in the area as stated in the first and second counts the appellant was found in possession of three pieces of tiles intended to be used in the preparation of narcotic drugs.
The appellant denied the charge against him in all three counts
Read More : Mussa Ramadhani Magae vs Republic (Criminal Appeal 545 of 2021) [2023] TZCA 181 (11 April 2023); | Tanzlii
Mahakama ya Rufaa Tanzania
Dar es Salaam, Tanzania
Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania chini ya jaji J.A Koroso baada ya kusikiliza rufani ya Mussa R. Magae, imetoa hukumu ya kumuachia huru Mussa Ramadhani Magae baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kushindwa kushawishika na mashtaka ya kesi iliyofunguliwa na mamlaka ya kupambana na madawa ya kulevya - DCEA dhidi ya Mussa Ramadhani Magae .
Mtuhumiwa alidai haki haikutumika haki wakati wa - utaratibu wa ukamataji chini ya kifungu cha mwenendo wa mashtaka ya jinai CPA, pia GPO, gwaride la utambulisho na ushahidi wa upande wa mashtaka n.k
Ilidaiwa tarehe 14/9/2017 katika mji mdogo wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Tanzania mtuhumiwa alikamatwa na madawa ya kulevya na vigae vinavyotumika ktk biashara ya kuuza madawa ya kulevya
Mtuhumiwa alikata rufaa kupinga kifungo cha miaka 30 jela na faini ya shilingi za kitanzania Tshs. 500,000 .... alichopewa katika mahakama ya chini hivyo akachukua hatua kukata rufaa mahakama ya juu kutafuta haki yake :
The appellant was then sentenced to serve thirty (30) years imprisonment in the first count and ordered to pay a fine ofTshs. 500,000/= or three years imprisonment if in default, in the second count .....
Mussa Ramadhani Magae vs Republic (Criminal Appeal 545 of 2021) [2023] TZCA 181 (11 April 2023);
On 14/9/2017 at Mlandizi area within Kibaha District within Coast Region, the appellant trafficked narcotic drugs namely.Allegations found in the second count, are that on the same date, and in the same area as in the first count the appellant was found in possession of narcotic drugs namely cannabis sativa commonly known as bhangiweighing 2.88 grams. In the third count, it was alleged that the appellant on the same date and in the area as stated in the first and second counts the appellant was found in possession of three pieces of tiles intended to be used in the preparation of narcotic drugs.