Mahakama ya Rufani yatengua hukumu ya Mahakama Kuu, kesi ya madawa ya kulevya ya Okwudili Nnaman Agu

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
29 December 2025

Raia wa Nigeria Okwudili Nnaman Agu leo rufani yake imekubaliwa na Mahakama ya Rufaani ya Tanzania ambayo imeamuru kesi hii iliyotolewa hukumu ya kifungo cha miaka 20 na mahakama kuu ya Tanzania, haikuwa imekamilika bila kuacha shaka yoyote.

Hivyo Mahakama ya Rufani Tanzania imetoa uamuzu kesi iendelee kuisikiliza pale ilipoishia ambapo mahakama ya Rufani ambayo ni mahakama ya juu kabisa Tanzania, imeona mahakama kuu haikuimaliza kikamilifu hadi ikatoa kifungo cha miaka 20 kwa Okwudili Nnaman Agu

MAPITIO YA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA / KIINI CHA UTATA :

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela na faini ya Sh343.8 milioni aliyohukumiwa:

Mahakama ya Rufaa ilibaini kuwa Okwudili Agu alikiri kosa hilo bila kufuata taratibu sahihi za kisheria, jambo ambalo linaifanya hukumu ya awali kuwa batili kisheria.
Maelezo ya Kesi:
  • Kosa la Awali: Okwudili Agu alikamatwa Desemba 29, 2013, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, akiwa na heroini yenye uzito wa gramu 1,273.69.
  • Hukumu: Alikiri kosa miaka miwili baada ya kukamatwa na kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na faini ya Sh343.8 milioni.
  • Rufaa: Agu alikata rufaa akidai hakuelewa mashtaka alipokiri kosa, kwani alikuwa akikana kosa hilo kipindi chote cha kesi.
  • Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa: Jopo la majaji, likiongozwa na Ferdinand Wambali, Lilian Kairo, na Deo Nangela, liliridhika kuwa kukiri kwa mshtakiwa hakukufanywa kwa usahihi wa kisheria, na hivyo kubatilisha hukumu hiyo.

Okwudili Nnaman Agu vs Republic (Criminal Appeal No. 822 of 2023) [2025] TZCA 1315 (29 December 2025)

Kukiri kosa lililorekodiwa kuwa na hatia kulikuwa na utata kutokana na kasoro za kiutaratibu; hatia ilifutwa na kesi ikafutwa kwa ajili ya kuendelea.
Utaratibu wa jinai — Kukiri hatia — Mahitaji kabla ya kutiwa hatiani kwa kukiri hatia: shtaka na viambato vimeelezewa; mshtakiwa kukubali au kukataa kila kitu; ukweli unaofichua vipengele vyote vinavyopaswa kusomwa na kurekodiwa; vielelezo vinavyotegemewa kuwa mbele ya mshtakiwa — Kukiri kinyume cha sheria —
 
29 December 2025

Raia wa Nigeria Okwudili Nnaman Agu leo rufani yake imekubaliwa na Mahakama ya Rufaani ya Tanzania ambayo imeamuru kesi hii iliyotolewa hukumu ya kifungo cha miaka 20 na mahakama kuu ya Tanzania, haikuwa imekamilika bila kuacha shaka yoyote.

Hivyo Mahakama ya Rufani Tanzania imetoa uamuzu kesi iendelee kuisikiliza pale ilipoishia ambapo mahakama ya Rufani ambayo ni mahakama ya juu kabisa Tanzania, imeona mahakama kuu haikuimaliza kikamilifu hadi ikatoa kifungo cha miaka 20 kwa Okwudili Nnaman Agu

Okwudili Nnaman Agu vs Republic (Criminal Appeal No. 822 of 2023) [2025] TZCA 1315 (29 December 2025)
Wapopo wanachezaa na judiciary loop hole zetu ....kazi sanaa...plus mipesa utashangaa wanashinda na fidia juuu hayaaa tusubiri suala la mudaa
 
29 December 2025

Raia wa Nigeria Okwudili Nnaman Agu leo rufani yake imekubaliwa na Mahakama ya Rufaani ya Tanzania ambayo imeamuru kesi hii iliyotolewa hukumu ya kifungo cha miaka 20 na mahakama kuu ya Tanzania, haikuwa imekamilika bila kuacha shaka yoyote.

Hivyo Mahakama ya Rufani Tanzania imetoa uamuzu kesi iendelee kuisikiliza pale ilipoishia ambapo mahakama ya Rufani ambayo ni mahakama ya juu kabisa Tanzania, imeona mahakama kuu haikuimaliza kikamilifu hadi ikatoa kifungo cha miaka 20 kwa Okwudili Nnaman Agu

MAPITIO YA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA / KIINI CHA UTATA :

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela na faini ya Sh343.8 milioni aliyohukumiwa:

Mahakama ya Rufaa ilibaini kuwa Okwudili Agu alikiri kosa hilo bila kufuata taratibu sahihi za kisheria, jambo ambalo linaifanya hukumu ya awali kuwa batili kisheria.
Maelezo ya Kesi:
  • Kosa la Awali: Okwudili Agu alikamatwa Desemba 29, 2013, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, akiwa na heroini yenye uzito wa gramu 1,273.69.
  • Hukumu: Alikiri kosa miaka miwili baada ya kukamatwa na kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na faini ya Sh343.8 milioni.
  • Rufaa: Agu alikata rufaa akidai hakuelewa mashtaka alipokiri kosa, kwani alikuwa akikana kosa hilo kipindi chote cha kesi.
  • Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa: Jopo la majaji, likiongozwa na Ferdinand Wambali, Lilian Kairo, na Deo Nangela, liliridhika kuwa kukiri kwa mshtakiwa hakukufanywa kwa usahihi wa kisheria, na hivyo kubatilisha hukumu hiyo.

Okwudili Nnaman Agu vs Republic (Criminal Appeal No. 822 of 2023) [2025] TZCA 1315 (29 December 2025)

Hao majaju watakuwa watoto wa Mjini wameshavuta mzigo wao wa kustaafu mapema sana tusubiri ujenzi wa magorofa yao Dodoma
 
Hapo wanapigania mil 300 wasilipe huwezi kukiri kosa then miaka 2 baadae unasema hukuelewa.....issue lugha au ? Angeomba mtafsiri kabla kesi kuanza....wanacheza mianya hawa tunawajuaas
 
Back
Top Bottom