Mahakama ya Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya kisheria na uwazi katika kutoa haki dhidi ya mashauri mbalimbali yanayowasilishwa huko.Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria . Mahakama ilikuwa sehemu ya wasomi inayo heshimika sasa mahakama imekuwa sehemu ya kisiasa na sio kisheria zaidi. lissu kapigania sana mahakama lakini hawajitambui maana wamejazwa makada kwenye ujaji na uhakimu. Udini udini umekuwa mwingi sana
Endelea kulala tuuMahakama ya Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya kisheria na uwazi katika kutoa haki dhidi ya mashauri mbalimbali yanayowasilishwa huko.
Mahakama za Tanzania zitaendelea kua vinara wa kutoa kwa haraka bila kuchelewa wala upendeleo kwa pande zote.
Uhuru wa Mahakama za Tanzania ni wa viwango vya kimataifa gentleman 🐒
Mahakama ya Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya kisheria na uwazi katika kutoa haki dhidi ya mashauri mbalimbali yanayowasilishwa huko.
Mahakama za Tanzania zitaendelea kua vinara wa kutoa kwa haraka bila kuchelewa wala upendeleo kwa pande zote.
Uhuru wa Mahakama za Tanzania ni wa viwango vya kimataifa gentleman 🐒
Gentleman hata Mimi naona hasa zinapokuwa ni kesi za chadema uhuru na uwazi unaonekana sana.yaani sanaaMahakama ya Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya kisheria na uwazi katika kutoa haki dhidi ya mashauri mbalimbali yanayowasilishwa huko.
Mahakama za Tanzania zitaendelea kua vinara wa kutoa kwa haraka bila kuchelewa wala upendeleo kwa pande zote.
Uhuru wa Mahakama za Tanzania ni wa viwango vya kimataifa gentleman 🐒
Power of Gangs & IslamistsMahakama ya Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya kisheria na uwazi katika kutoa haki dhidi ya mashauri mbalimbali yanayowasilishwa huko.
Mahakama za Tanzania zitaendelea kua vinara wa kutoa kwa haraka bila kuchelewa wala upendeleo kwa pande zote.
Uhuru wa Mahakama za Tanzania ni wa viwango vya kimataifa gentleman 🐒
Sio image nzuri kwa nchi, inaonekana hawawezi kufanya maamuzi mpaka wapigiwe simu, judiciary system inahitaji reformsMahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria . Mahakama ilikuwa sehemu ya wasomi inayo heshimika sasa mahakama imekuwa sehemu ya kisiasa na sio kisheria zaidi. lissu kapigania sana mahakama lakini hawajitambui maana wamejazwa makada kwenye ujaji na uhakimu. Udini udini umekuwa mwingi sana
Hili suala la mihimili mikuu ya nchi (Mahakama na Bunge) kutekwa na Serikali si jambo jipya. Tatizo ni kwamba tunajifanya hatuelewi na tunaona kinachoendelea sasa kama kitu cha ajabu, ilhali hakuna cha ajabu hapo, kilitarajiwa. Adui anayekumudu atakufanyia lolote atakalo, na huna lolote utakalomfanya. CCM inawamudu Watanzania, na hakuna kitu kitakachofanyika dhidi yao. Watanzania tumebakia kuamini katika miujiza na karma bila kuchukua hatua yoyote. Maumivu yatakapokuja mbeleni yatakuwa makali sana, na bado hatutafanya chochote zaidi ya kusubiri miujiza.Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria . Mahakama ilikuwa sehemu ya wasomi inayo heshimika sasa mahakama imekuwa sehemu ya kisiasa na sio kisheria zaidi. lissu kapigania sana mahakama lakini hawajitambui maana wamejazwa makada kwenye ujaji na uhakimu. Udini udini umekuwa mwingi sana
hakuna majaji Tanzania, kuna shyster judges!majaji