Mahakama ya UAE imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha waislamu wa siasa kali 53 kwa makosa ya ugaidi

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Delhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.

The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.

Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
 
Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
 
Unfortunately huu uongo umefika mwisho.
Bongo Mtu kujua kutaja CIA, M16 tayari ni bonge la Jesusi hadi anajua.
 
Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
Hawa 53 ni Muslim Brotherhood hawana uhusiano na unachokisema. Na hili kundi liko toka 1920s huko Misri. Ndiyo walimuua Egyptian Prime Minister Mahmud El Nokrashi mwaka 1948. Na ndipo Gamal Abdel Nasser akawapiga marufuku. Alipokufa Nasser miaka ya mwishoni mwa 1960s alaingia Anwar Sadat, yeye akawaruhusu wafanye harakati zao. Naye wakamuua mwaka 1981.

Mubarak alipochukua akawapiga marufuku. Hatimaye baada ya Arab Spring naye Mubarak akatolewa mwaka 2012. Ndipo akaja Mohamed Morsi ambaye alikuwa ni member wa Muslim Brotherhood. Kwa muda mfupi alitaka kuharibu nchi, lakini jeshi likamuwahi na kumpindua. Ndipo Al Sisi alipokamata madaraka akawapiga marufuku pia hawa Muslim Brotherhood. Na ndiyo utulivu umepatikana

The Society of the Muslim Brothers is a transnational Sunni Islamist organization founded in Egypt by Islamic scholar and schoolteacher Hassan al-Banna in 1928. Al-Banna's teachings spread far beyond Egypt, influencing today various Islamist movements from charitable organizations to political parties
 
Ndugu yangu hao wamenyongwa kwa vile uislamu hauruhusu ila nyie mnakosea sana kuita uislamu ni ugaidi ...Naendelea kusema katika sheria za kiislamu hayo makundi hayachukui raound ni kunyongwa .

Mke wa kiongozi wa ISIS nae kahukumiwa kunyongwa huko Iraq.

Hakuna muislamu anatetea huo ujinga wa kuwaua watu wasiokuwa na hatia .
 
Na kitu watu wasichokielewa ni kwamba kwanini hizi vuguvugu zilianza kutokea wakati fulani na zamani haikua hivyo,,,,waislam wameishi miaka mingi sana na wakristo na wayahudi hapo mashariki ya kati japo walikua kuna kipindi wanakorofishana kama jamii nyingine tu ila maisha yanaenda, hizi propaganda za ugaidi zimeanza miaka ya karibuni tu na baada ya wazayuni kuanzisha taifa lao hapo mashariki ya kati.........mambo ya divide and rule, kwa maisha yetu wa Tanzania kuchukiana sababu ya dini inatokana na hizi propaganda za mitandaoni na vyombo vya habari,,,ila ukiingia mtaani watu wanashirikiana vizuri tu na mambo yanaenda,,,,,ninachoelewa ubaya upo kwa mtu mwenyewe binafsi,,,na dini binadamu anaweza akaitumia kutokana na akili yake na maslahi yake yanavyomtuma, hii ni kwa imani zote
 
Hapa juzi tu vita ya kwanza & pili ya dunia waislamu walikuwa kimya hawana skendo za ugaidi ...Baada ya yule jamaa kuwa superpower ndio vurugu zikaanza
 
Delhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.

The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.

Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
Watawala wote wa kiarabu hawaipendi Muslims brotherhood maana ni mbadala wao wa moja kwa moja,ukiwaacha wanakutoa madarakani
 
Wakristo wengi huwa wanachuki sana na Uislam sababu mungu wa wakristo amekufa, wanasema alikufa kwa kubeba dhambi zao, wanasema alikufa akazikwa Jerusalem ili unabii utimie, hapo wanakiri alikuwa mtume, na wengine wanasema kapaishwa wengine wanasema mungu wao alilala usingizi.

Jawabu liko hapa Mungu halali hata kidogo, Yesu alilala, Mungu hafi Yesu kafa, Mungu hasaidiwi wala haombi msada Yesu alilia kumuomba Mungu

View: https://youtube.com/shorts/axIOAYwGBls?si=qpwdQNoPlI7xB0Q5
 
Maandiko hayaongopi Yana jibu.
Osama sio muislam yule ni kafiri aliyejificha kwenye dini baada ya kukosana na bwana wake USA
Duh mnamruka leo na kumuita kafiri?? Mtu ambaye baba yake mzazi ndiye aliyejenga msikiti mkubwa wa hija wa Mecca. Kwa hiyo mnahiji kwenye msikiti uliojengwa na kafiri
 
Back
Top Bottom