Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?Delhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.
The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.
Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
Unfortunately huu uongo umefika mwisho.Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
Hawa 53 ni Muslim Brotherhood hawana uhusiano na unachokisema. Na hili kundi liko toka 1920s huko Misri. Ndiyo walimuua Egyptian Prime Minister Mahmud El Nokrashi mwaka 1948. Na ndipo Gamal Abdel Nasser akawapiga marufuku. Alipokufa Nasser miaka ya mwishoni mwa 1960s alaingia Anwar Sadat, yeye akawaruhusu wafanye harakati zao. Naye wakamuua mwaka 1981.Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
Bwana Osama anasimama upande upiMuislam wa kweli hawezi kuwa gaidi na gaidi wa kweli hawezi kuwa muislam
Maandiko hayaongopi Yana jibu.Bwana Osama anasimama upande upi
Ooh kumbeMaandiko hayaongopi Yana jibu.
Osama sio muislam yule ni kafiri aliyejificha kwenye dini baada ya kukosana na bwana wake USA
Osama ni kafir ameua ndugu zake akiwa anatumika na wazungu ....Bwana Osama anasimama upande upi
Na kitu watu wasichokielewa ni kwamba kwanini hizi vuguvugu zilianza kutokea wakati fulani na zamani haikua hivyo,,,,waislam wameishi miaka mingi sana na wakristo na wayahudi hapo mashariki ya kati japo walikua kuna kipindi wanakorofishana kama jamii nyingine tu ila maisha yanaenda, hizi propaganda za ugaidi zimeanza miaka ya karibuni tu na baada ya wazayuni kuanzisha taifa lao hapo mashariki ya kati.........mambo ya divide and rule, kwa maisha yetu wa Tanzania kuchukiana sababu ya dini inatokana na hizi propaganda za mitandaoni na vyombo vya habari,,,ila ukiingia mtaani watu wanashirikiana vizuri tu na mambo yanaenda,,,,,ninachoelewa ubaya upo kwa mtu mwenyewe binafsi,,,na dini binadamu anaweza akaitumia kutokana na akili yake na maslahi yake yanavyomtuma, hii ni kwa imani zoteNdugu yangu hao wamenyongwa kwa vile uislamu hauruhusu ila nyie mnakosea sana kuita uislamu ni ugaidi ...Naendelea kusema katika sheria za kiislamu hayo makundi hayachukui raound ni kunyongwa .
Mke wa kiongozi wa ISIS nae kahukumiwa kunyongwa huko Iraq.
Hakuna muislamu anatetea huo ujinga wa kuwaua watu wasiokuwa na hatia .
sawa kiongoziOsama ni kafir ameua ndugu zake akiwa anatumika na wazungu ....
Hapa juzi tu vita ya kwanza & pili ya dunia waislamu walikuwa kimya hawana skendo za ugaidi ...Baada ya yule jamaa kuwa superpower ndio vurugu zikaanzaNa kitu watu wasichokielewa ni kwamba kwanini hizi vuguvugu zilianza kutokea wakati fulani na zamani haikua hivyo,,,,waislam wameishi miaka mingi sana na wakristo na wayahudi hapo mashariki ya kati japo walikua kuna kipindi wanakorofishana kama jamii nyingine tu ila maisha yanaenda, hizi propaganda za ugaidi zimeanza miaka ya karibuni tu na baada ya wazayuni kuanzisha taifa lao hapo mashariki ya kati.........mambo ya divide and rule, kwa maisha yetu wa Tanzania kuchukiana sababu ya dini inatokana na hizi propaganda za mitandaoni na vyombo vya habari,,,ila ukiingia mtaani watu wanashirikiana vizuri tu na mambo yanaenda,,,,,ninachoelewa ubaya upo kwa mtu mwenyewe binafsi,,,na dini binadamu anaweza akaitumia kutokana na akili yake na maslahi yake yanavyomtuma, hii ni kwa imani zote
Osam ameua watu wasiokuwa na hatiasawa kiongozi
Watawala wote wa kiarabu hawaipendi Muslims brotherhood maana ni mbadala wao wa moja kwa moja,ukiwaacha wanakutoa madarakaniDelhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.
The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.
Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
Maneno ya kweli kabisa hayoMuislam wa kweli hawezi kuwa gaidi na gaidi wa kweli hawezi kuwa muislam
Duh mnamruka leo na kumuita kafiri?? Mtu ambaye baba yake mzazi ndiye aliyejenga msikiti mkubwa wa hija wa Mecca. Kwa hiyo mnahiji kwenye msikiti uliojengwa na kafiriMaandiko hayaongopi Yana jibu.
Osama sio muislam yule ni kafiri aliyejificha kwenye dini baada ya kukosana na bwana wake USA
Baba yake hakubaliani na matendo ya mwanae kuuchafua uislamDuh mnamruka leo na kumuita kafiri?? Mtu ambaye baba yake mzazi ndiye aliyejenga msikiti mkubwa wa hija wa Mecca. Kwa hiyo mnahiji kwenye msikiti uliojengwa na kafiri