Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto .

Kesi imeahirishwa kwa muda ili kuiruhusu Mahakama kupitia mapingamizi hayo na ufafanuzi wa mawakili wa serikali

View attachment 1922291
Kama kumfunza adabu laa sasa imetosha, huku tumeanza kuungani suala la vyama tunalitupia mbali hata kama vyama tofauti. Nimemuona afya yake inaporomoka. Laa uchungu sana.
 
Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto .

Kesi imeahirishwa kwa muda ili kuiruhusu Mahakama kupitia mapingamizi hayo na ufafanuzi wa mawakili wa serikali

View attachment 1922291

Hatutashangaa Jaji kupiga simu kwa bosi wake maana siku hizi sheria zinafuata siasa!
 
kila mtu atavuna alicho kipanda.
Mbowe anapitia wakati mgumu sana ktk maisha yake hivyo anapaswa ajitafakari sana Matendo yake aliyo yafanya dhidi ya binaadamu wenzake.
maana malipo ya uovu ni hapahapa duniani.
ni vyema muda huu akajisahihisha na Kumomba Mungu amsamehe juu matendo yake.
kwa macho ya kawaida ataona kama anapambana na sheria za nchi/utawala lkn kiuhalisia anapambana dhidi ya matendo yake maovu aliyo yatenda kwa siri.
kila binaadamu atapambana na uovu wake kwa style yake hapahapa Duniani.
 
Kati ya vitu nimeshuhudia Leo kuwa Kuna watu wanaijua Sheria na wengine wanabebwa na katiba mbovu basi ni leo hii, maana sio kwa umombo ule uliojaa vocabulary za adabu za kisheria Hadi nikatamani kurudi shule loooh🙌🙌🙌🙌
Ulisikia nini? Tunatofautiana elimu boss! Sisi wanasayansi tukizungumza ya kwetu huwa hupati hata kamusi ya kukusaidia.
 
Na kesi ya Sabaya inaendeleaje?

Aliyekuwa mbunge wa HAI Freeman mbowe yuko mahakamani Dar es salaam.

Na pia Aliyekuwa DC wa HAI yuko mahakamani Arusha.

Muda unaenda kasi Sana!

Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu!
Yeap! Ni hawa hawa walioshangilia kusikia Sabaya yuko mahabusu. Leo hii wanatuma maombi kwa Mungu Mbowe aachiwe. Tuwe na tabia ya kumuombea kila mtu, KILA MTU apate hukumu ya haki.
 
kila mtu atavuna alicho kipanda.
Mbowe anapitia wakati mgumu sana ktk maisha yake hivyo anapaswa ajitafakari sana Matendo yake aliyo yafanya dhidi ya binaadamu wenzake.
maana malipo ya uovu ni hapahapa duniani.
ni vyema muda huu akajisahihisha na Kumomba Mungu amsamehe juu matendo yake.
kwa macho ya kawaida ataona kama anapambana na sheria za nchi/utawala lkn kiuhalisia anapambana dhidi ya matendo yake maovu aliyo yatenda kwa siri.
kila binaadamu atapambana na uovu wake kwa style yake hapahapa Duniani.
 
Ulisikia nini? Tunatofautiana elimu boss! Sisi wanasayansi tukizungumza ya kwetu huwa hupati hata kamusi ya kukusaidia.
Mimi mwenyewe mtu science japo sio ile ya Greek words, Ila Leo ukweli nimeonja ladha ya utamu wa mabishano ya kisheria.

Natamani pia itokee siku moja bungeni kuwa na wabobezi wa Sheria namna hii alafu spika asimame katikati aache watu waringishiane walicho nacho kichwani nahisi Kama nchi tunaeza piga hatua Sasa😢😢😢😢
 
Mbowe akishinda hii kesi cdan km kuna kesi nyingine atakuja kushinda... Naona km kesi za kubambika zimeisha kwenye makabrasha ya polisi... Maana hii ya ugaidi ni level ya juu kuliko zote!
 
kila mtu atavuna alicho kipanda.
Mbowe anapitia wakati mgumu sana ktk maisha yake hivyo anapaswa ajitafakari sana Matendo yake aliyo yafanya dhidi ya binaadamu wenzake.
maana malipo ya uovu ni hapahapa duniani.
ni vyema muda huu akajisahihisha na Kumomba Mungu amsamehe juu matendo yake.
kwa macho ya kawaida ataona kama anapambana na sheria za nchi/utawala lkn kiuhalisia anapambana dhidi ya matendo yake maovu aliyo yatenda kwa siri.
kila binaadamu atapambana na uovu wake kwa style yake hapahapa Duniani.
Hiyo ni dhana tuu, kwa matendo ya kijamii, uhusiano na urafiki nakuhakikishia Mbowe ni mtu mzuri sana, labda mjombaa Mmachame wangu kwa pesa tuu. Mimi nampiga sana madongo lakini sasa imetosha.
 
Back
Top Bottom