Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Jaji hawezi kupokea maagizo kutoka juu?

Nawaza tu.
Si ndio kujidhalilisha huko?

Mtu kama anazo akili kichwani, na anaona wazi usanii unaofanyika, kwa nini mtu huyo ajivunjie heshima zake katika macho ya dunia kwenye kesi ya kipuuzi kama hii?

Jaji anayo nafasi nzuri ya kujijengea sifa kukataa upuuzi wa wazi kama huu.

Na kumbuka, enzi za upendeleo za Magufuli zimekwishapita. Hawa wengine sasa watakaofanya upuuzi wakitegemea upendeleo juu yao watakuwa wanajipaka kinyesi tu kwenda mbele!

Jaji na yeye ni mtu mwenye kusoma na kuelewa alama za nyakati.
Tunaelekea kwenye nyakati tofauti kabisa na zile zilizopita.
 
Nadhan bora wajiandalie upendeleo kutoka kwa Maulana!! Na sio busara kukanyaga haki
 
Mawakili wa Jamhuri wametakiwa kuthibitisha Shitaka la Njama za kupanga ugaidi kuwa lazima kuwe na kikao ndio iitwe njama. Waliposhindwa kuthibitisha wakasema eti hata kuwa na mawazo yanayofanana ni kikao😅😅😅

Hivi Jaji anatakiwa kufikiri sana au kuitupilia kesi ya kubambika.
 
ngoja wadhalilike kwanza
Mbona umekaa kimipasho sana!!?
That is a proffesional work hakuna udhalilishaji
ni submission tu......
sasa ngoja j3 mbagazwe alafu sijui kama utatumia hilo neno udhalilishaji
 
Kama katumwa na Samia anafanyaje? Mtihani mkubwa
 
Huu ndio uliberali wanapiganiaga chadema. Mhalifu aweze kuachiwa eti hati ya mashstaka imekosewa ambapo hata ikitokea imekosewa inabidi ijazwe tena mtuhumiwa akiwa ameshikiliwa. Kama sivyo chadema wanahangaika nini badala yakuacha kesi iendelee. Hakuna faida wanapata mbele ya mahakama inayotafuta haki na sio ushindi kwa wenye hila ya kuepa haki.
 

Safi sana kutumia lugha rasmi ya Mahakama Kuu, kwani lugha ya Kiswahili haijajitosheleza katika kuendesha kesi nzito na ngumu kama hii, lugha ya Kiswahili full utata katika masuala ya law, medicine, philosophy, Economics n.k
 
Huelewi mambo ya kisheria. Nenda kasome fate ya defective charge sheet/charge.....
 
Kwani ni baba YAKO , mjomba, au baba YAKO mdogo ,asipo TOKA waumia nini, wewe mzee wa kubeti vipi that's , ccm mwaleta Mambo ya kubet kwenye taifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinitolee mimi hasira zako mkuu!

Hasira zako peleka pale kisutu
 
Bora waifute maana wakiamua kukomaa nayo itawaaibisha huko mbele...kumtuhumu mtu GAIDI lazima uwe unaushahidi ulioshiba... si lelemama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinitolee mimi hasira zako mkuu!

Hasira zako peleka pale kisutu
Kwani kisutu , lipi la muhim, si kesi imeharishwa au Sasa ,wataka nikuletee hasira TOKA wapi tena ,

Sikia mtamuchia Mbowe mpende msipende hatupigi nyungu hapa ni shule tu ,huna shule wakaa pembeni, nyie ccm mmerogwa na na nani ? Mbona mwajitoa ufaham ,ccm sio tz ,nyie vipi
 
Mawakili wa Jamhuri wametakiwa kuthibitisha Shitaka la Njama za kupanga ugaidi kuwa lazima kuwe na kikao ndio iitwe njama. Waliposhindwa kuthibitisha wakasema eti hata kuwa na mawazo yanayofanana ni kikao😅😅😅
Wamekuwa Mungu kujua mawazo ya wanadamu wanawaza nini au ni watu wa rohoni sana hao mawakili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, kunywa maji mengi alafu utulie kidogo
 
✌️Vyema formation .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, kunywa maji mengi alafu utulie kidogo
Hamna na hamuwezi mshida mungu, mbona mnakua vizuwi, yani mmeshindwa yote ,mpaka mwasingizia UGAIDI mh mbowe ,mtakufa midomo ipo wazi ,asema bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…