Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

The converse position therefore is that if the charge sheet reveals two independent offences where one cannot be subsumed in the other in the sense of all the ingredients of one of the offences being included in the other offence, and the evidence adduced pursuant to such a charge does not disclose any of the offences, then this is a defect that is not curable under section 382 of the Criminal Procedure Code.
quoted from Kenyan case
 
Hata mwenye roho mbaya kama Magu lakini alikufa.Mungu anayeona sirini mwa moyo wa mtu na dhamira yake yeye anaye hukumu kwa haki na akupe sawa sawa na mapenzi yake
Mungu siyo Amsterdam au Lisu
 
Wamekuwa Mungu kujua mawazo ya wanadamu wanawaza nini au ni watu wa rohoni sana hao mawakili
Mawakili wanapata tabu sana kutetea kesi za kuunga unga. Kitakachowaokoa ni Amri kutoka juu tu. Vinginevyo wataangukia pua.
 
Mungu siyo Amsterdam au Lisu
Mungu ni yule aliyemuita kwake MAGUFULI baada ya maumivu makali .Acha tamaa za pesa za CCM na serikali yake andaa makao ya milele kwa tenda mema!!!CCM haitakuwepo siku ukiwa kaburini
 
Hata mwenye roho mbaya kama Magu lakini alikufa.Mungu anayeona sirini mwa moyo wa mtu na dhamira yake yeye anaye hukumu kwa haki na akupe sawa sawa na mapenzi yake
Unaweza kudhani Mabomu na mitutu vinawasaidia lakini wanajitia stress tu
 
Mungu ni yule aliyemuita kwake MAGUFULI baada ya maumivu makali .Acha tamaa za pesa za CCM na serikali yake andaa makao ya milele kwa tenda mema!!!CCM haitakuwepo siku ukiwa kaburini
Si mlisema Mungu alimuua ili kuwakomboa nyie bavicha?
 
Si mlisema Mungu alimuua ili kuwakomboa nyie bavicha?
Pointi yangu ni hii MUNGU hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakacho vuna.Wewe unatafuta laana juu ya familia .Fanya kazi hivyo kwa akili kama wenzako.Mungu wetu ni MUNGU wake.Leo Unalipwa ujira huo kwa sababu ya kuwafanyia vibaya binadamu wenzako .Kesho hao binadamu hawata kuwepo na utateseka .Walikuwepo kina Nape,Walikuwepo kina Makonda,Walikuwepo kina Polepole.Ndugu jiandalie makao mazuri Mbinguni acha kuchuma laana
 
Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto .
1. Kiongozi, asante sana kwa kutushirikisha radha ya mnyukano huu mzuri wa kisheria.
2. Inashangaza kuona kwamba shtaka linadai washtakiwa walikula njama kutenda kosa la kigaidi na sehemu zikatajwa, lakini wanaoshtaki wanasema siyo lazima kuwe na kikao, bali 'common intention'. Hiyo 'common intention' inatoka wapi kama hakuna namna ya kuonyesha jinsi ilivyokuwa 'common intention'? Je, hizo njama zitawahusishaje watu wanne bila wao kuwa na namna ya kufanya kikao au at least kuwa connected kwenye mawasiliano fulani ambayo ndiyo yanayopanga kula hiyo njama?
3. Kama hakuna definition ya 'terrorist intentions' - yaani husemi maneno yanamaanisha nini - then utawezaje kusema kulikuwa na 'terrorist intetions'? Yaani kama hakuna maana ya kuwa nia ovu, utajuaje kuwa x ana nia ovu na utaanzia wapi? Ni kama kwenye kesi mojawapo miaka ya 1980 mtumishi mmoja wa serikali alisimamishwa kazi 'kwa masilahi ya taifa' na akashtaki akiiomba mahakama kumrejesha kazini. Jaji Mwalusanya aliuliza upande wa mashtaka ueleze maana ya kumwachisha mtumishi wa umma kwa masilahi ya taifa, akiuliza hayo 'masilahi ya taifa' maana yake ni nini? Upande wa mashtaka haukuwa na 'definition' ya masilahi ya taifa na pamoja na mambo mengine, Jaji Mwalusanya alielekeza huyo mtumishi arejeshwe kazini na alipwe stahiki zake zote tangu aliposimamishwa kazi.
4. Kitu kingine ambacho mawakili watetezi (sijui kama wamekitaja au la) ni upande wa mashtaka waweze kuonyesha tofauti kati ya an act of terrorism na an act of violence na whether ni tofauti au kitu kimoja. Vinginevyo utakuta hata kama watu wanabishana na mtu mwingine na kama kuna any act of violence wanaweza kuwa regarded kama wamefanya kitendo la kigaidi wakati siyo. Nadhani hii hoja ni vizuri wakaiweka vizuri ili jaji aweze kuiona vizuri na kuitolea uamuzi mzuri.
 
Ujinga wenu ni kufikri Mungu anatenda kwa wana chadema tu!

Magufuli aliposema tufunge na kuomba kwa ajili ya corona mlimkejeli mkasema Mungu ana kazi nyingi.

Mkibanwa ndio utaona mnajifanya walokole.

Sikia ndugu Mungu siyo Lisu wala Amsterdam, Mungu ni wa wote.

Huwa nashangaa mnakejeli eti Magu saa hii yuko motoni, yani nyie bavicha huwa mnafikiri Mungu anawaza kama muwazavyo nyie.
 
Mkuu jua kuwa kama walivyo watu, kuna maskini hata laki anaisikia tu, wapo mamillionea, wapi mabilionea na matrionea; hizo zote ni ngazi hapa duniani. Hivyo hata LUGHA zina madaraja, na hayo madaraja yanatokana na umuhimu wake katika kustawisha maisha na maendeleo ya mwanadamu. Kingereza (English) no. 1. na najua hata kiswahili kinadaraja lake, nadhani unalitambua.
 
Safi naona unakuja vizuri,Mungu ni wetu sore lakini uache kuwa wakala wa shetani hapa duniani.Wewe huna tofauti kabisa na shetani kwa kazi unayoifanya.,Usishangae pamoja na kwamba Unalipwa hela kwa kazi hii ya unafiki dhidi ya binadamu wenzako lakini huwezi kupata maendeleo kwa sababu baraka kwa Mungu.Mugufuli alifariki 17.03.2021.
 
Mbona umekaa kimipasho sana!!?
That is a proffesional work hakuna udhalilishaji
ni submission tu......
sasa ngoja j3 mbagazwe alafu sijui kama utatumia hilo neno udhalilishaji
Hata mtu mwenye nusu akili kama wewe angetambua kesi za kuwa 'professional' au vinginevyo. Nashanga hiyo 'professional' yako sijui inahusu nini?
 
Nalipwa na nani? Kwa ajili gani?

Siro: chadema wanamuona Mbowe malaika.
 
Kama Mahakama itafuata sheria hii kesi ya uongo inaenda kufutwa haraka sana
 
Kwani uongo kuwa Magufuli yuko jehanam akibanikwa kama mishkaki!
 
Kwa hyo anawaza Kama unawazavyo wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…