Mahakama ya Uingereza yahukumu Assange anaweza kurejeshwa nchini Marekani

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
VCG31N1237148838 (1).jpg
Hivi karibuni Marekani imeongoza “mkutano wa kimataifa wa demokrasia”, na kwenye mkutano huo nchi za Magharibi zimedai kutetea mambo ya demokrasia na haki za binadamu duniani. Kinachoshangaza ni kwamba wakati wa mkutano huo, Mahakama Kuu ya Uingereza imetoa uamuzi kwamba mwanzilishi wa kampuni ya WikiLeaks Bw. Julian Paul Assange, anaweza kupelekwa nchini Marekani, na kama akipelekwa anaweza kukabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka 175. Jambo hili linadhihirisha kwamba, nchi za magharibi zinafanya unafiki mkubwa katika mambo ya demokrasia na haki za binadamu.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni kwenye mtandao mmoja wa kijamii, alisema zaidi ya wanahabari 350 duniani wamefungwa kutokana na ripoti zao. “Lazima tufichue kwa uthabiti ukandamizaji kwa waandishi wa habari, na lazima tuhimize kuachiliwa kwa wanahabari wanaozuiliwa bila haki,” alisema. Lakini Bw. Blinken amemsahau Bw. Assange, ambaye ni mwanahabari mashuhuri zaidi wa kiraia atakayekabiliwa na kifungo cha maisha nchini Marekani. Kwani Assange amefanya uhalifu gani mbaya?

“Uhalifu” Assange ni kwamba alitumia uhuru na haki za binadamu ambavyo nchi za Magharibi zinatetea kwa nguvu zote, na kufichua uhalifu mwovu uliofanywa na Marekani, ikiwa ni pamoja na mauaji ya zaidi ya raia 15,000 nchini Iraq ambao hawakuripotiwa, kutesa wafungwa wenye miaka kati ya 14 na 89 huko Guantanamo, kufanya ujasusi dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na wanadiplomasia wengine kwa njia haramu, kuanzisha mapinduzi ya kijeshi nchini Honduras, kufanya vita ya kisiri dhidi ya Yemen, na kusababisha vifo vya maelfu ya watu.

Baada ya kutangazwa kwa hukumu hiyo Bw. Edward Joseph Snowden ambaye ana uzoefu unaofanana na Assange, amesema Assange ni mmoja wa wafungwa wakubwa wa kisiasa katika nchi za Magharibi. Kila kesi dhidi yake imejaa rushwa na matumizi mabaya ya sheria. Bw. Snowden amekuwa akisakwa na serikali ya Marekani kwa kufichua mpango wa ujasusi wa “Prismgate”, na sasa amejificha nchini Russia.

Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amesema, kama Bw. Assange angekuwa mwanahabari wa China aliyefichua siri ya serikali, angepata Tuzo ya Nobel, na kuwa mtu anayefuatiliwa zaidi na nchi za magharibi katika “Siku ya Haki za binadamu”, picha yake kubwa ingeoneshwa kwenye mkutano wa demokrasia ulioitishwa na Rais Joe Biden wa Marekani, na pia angekuwa msemaji wa kususia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.

Kwenye mkutano wa demokrasia, Uingereza na Marekani zimedai jinsi zinavyojitahidi kutetea demokrasia na haki za binadamu duniani, na kusema nchi zao zimetekeleza demokrasia vizuri kuliko nchi nyingine. Hata hivyo, hukumu ya Mahakama Kuu ya London dhidi ya Bw. Assange imefichua unafiki wao. Kama Jarida la Time la Marekani lilivyosema, mkutano huu haukuwa na nia ya kutatua changamoto za kidemokrasia nchini Marekani, badala yake umelenga kuzipaka matope China na Russia, hivyo mkutano huu umekuwa “kilele cha unafiki”.
 
Ila assange alinifurahisha, kapewa hifadhi kwenye ubarozi halafu kalikisha ufisadi wa nchi iliyompa hifadhi 🤣🤣
 
Ila assange alinifurahisha, kapewa hifadhi kwenye ubarozi halafu kalikisha ufisadi wa nchi iliyompa hifadhi [emoji1787][emoji1787]
Sio kweli. Assange alipewa hifadhi ya Kisiasa kwenye ubalozi wa Equador nchini Uingereza baada ya kuvujisha nyalaka za Siri za Jeshi la Marekani kuhusu operation zake za kuvunja haki za kibinadamu huko Afghanistan.

Assange hajawahi kuvujisha Siri za nchi ya Equador iliyompa hifadhi ya Kisiasa Kama unavyodai.

Assange amefukuzwa kwenye ubalozi wa Equador baada ya Marekani kutishia kuiwekea vikwazo nchi ya Equador endapo haitamkabdhi kwa mamlaka ya nchi ya Uingereza.

Baada ya Equador kumtimua kwenye ubalozi wake ambao amepewa hifadhi kwa zaidi ya miaka 7 ndipo akakamatwa na askali wa Uingereza kwa shinikizo la Marekani.

Polisi wa Uingereza walikuwa mda wote wako nje ya ubalozi wa Equador ili kumkamata Assange. Lakini Sheria za kimataifa zinakataza Nchi Mwenyeji kuvamia ubalozi wa Nchi nyingine ndani ya nchi hiyo kwani kufanya hivyo Ni sawa na Tangazo la Vita Kati ya nchi hizo mbili.
 
Soma hapo, na hiki kilitokea akiwa bado kwenye ubarozi wao
 
Haya mapumbavu kesho yataanza kutuimbia khs demokrasia,utawala Bora,Haki za binadamu.Kuna interview alikua anahojiwa rais nadhani alikua Ni wa Belarus Ila sikumbuki vyema na BBC,rais akaulizwa mbona unawatesa na kuwafunga waandishi wa habari wa nchini kwao?Rais akamjibu what about Julian Assange?aisee Mwandishi wa BBC alikosa jibu akaanza kuweweseka tu.
 
View attachment 2044736Hivi karibuni Marekani imeongoza “mkutano wa kimataifa wa demokrasia”, na kwenye mkutano huo nchi za Magharibi zimedai kutetea mambo ya demokrasia na haki za binadamu duniani. Kinachoshangaza ni kwamba wakati wa mkutano huo, Mahakama Kuu ya Uingereza imetoa uamuzi kwamba mwanzilishi wa kampuni ya WikiLeaks Bw. Julian Paul Assange, anaweza kupelekwa nchini Marekani, na kama akipelekwa anaweza kukabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka 175. Jambo hili linadhihirisha kwamba, nchi za magharibi zinafanya unafiki mkubwa katika mambo ya demokrasia na haki za binadamu.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni kwenye mtandao mmoja wa kijamii, alisema zaidi ya wanahabari 350 duniani wamefungwa kutokana na ripoti zao. “Lazima tufichue kwa uthabiti ukandamizaji kwa waandishi wa habari, na lazima tuhimize kuachiliwa kwa wanahabari wanaozuiliwa bila haki,” alisema. Lakini Bw. Blinken amemsahau Bw. Assange, ambaye ni mwanahabari mashuhuri zaidi wa kiraia atakayekabiliwa na kifungo cha maisha nchini Marekani. Kwani Assange amefanya uhalifu gani mbaya?

“Uhalifu” Assange ni kwamba alitumia uhuru na haki za binadamu ambavyo nchi za Magharibi zinatetea kwa nguvu zote, na kufichua uhalifu mwovu uliofanywa na Marekani, ikiwa ni pamoja na mauaji ya zaidi ya raia 15,000 nchini Iraq ambao hawakuripotiwa, kutesa wafungwa wenye miaka kati ya 14 na 89 huko Guantanamo, kufanya ujasusi dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na wanadiplomasia wengine kwa njia haramu, kuanzisha mapinduzi ya kijeshi nchini Honduras, kufanya vita ya kisiri dhidi ya Yemen, na kusababisha vifo vya maelfu ya watu.

Baada ya kutangazwa kwa hukumu hiyo Bw. Edward Joseph Snowden ambaye ana uzoefu unaofanana na Assange, amesema Assange ni mmoja wa wafungwa wakubwa wa kisiasa katika nchi za Magharibi. Kila kesi dhidi yake imejaa rushwa na matumizi mabaya ya sheria. Bw. Snowden amekuwa akisakwa na serikali ya Marekani kwa kufichua mpango wa ujasusi wa “Prismgate”, na sasa amejificha nchini Russia.

Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amesema, kama Bw. Assange angekuwa mwanahabari wa China aliyefichua siri ya serikali, angepata Tuzo ya Nobel, na kuwa mtu anayefuatiliwa zaidi na nchi za magharibi katika “Siku ya Haki za binadamu”, picha yake kubwa ingeoneshwa kwenye mkutano wa demokrasia ulioitishwa na Rais Joe Biden wa Marekani, na pia angekuwa msemaji wa kususia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.

Kwenye mkutano wa demokrasia, Uingereza na Marekani zimedai jinsi zinavyojitahidi kutetea demokrasia na haki za binadamu duniani, na kusema nchi zao zimetekeleza demokrasia vizuri kuliko nchi nyingine. Hata hivyo, hukumu ya Mahakama Kuu ya London dhidi ya Bw. Assange imefichua unafiki wao. Kama Jarida la Time la Marekani lilivyosema, mkutano huu haukuwa na nia ya kutatua changamoto za kidemokrasia nchini Marekani, badala yake umelenga kuzipaka matope China na Russia, hivyo mkutano huu umekuwa “kilele cha unafiki”.

Kiukweli kuna uhuru, haki kiasi za kibinadamu huko ulaya,USA ukiwa mtulivu. Ukigusa maslahi ya nchi, elites, wanakupoteza.

Na sio vigumu, sababu wanamiliki vyombo vyote vikubwa vya habari duniani, nini usikie, wakati gani upate hisia gani, ukubaliane na kipi.
 
Haya mapumbavu kesho yataanza kutuimbia khs demokrasia,utawala Bora,Haki za binadamu.Kuna interview alikua anahojiwa rais nadhani alikua Ni wa Belarus Ila sikumbuki vyema na BBC,rais akaulizwa mbona unawatesa na kuwafunga waandishi wa habari wa nchini kwao?Rais akamjibu what about Julian Assange?aisee Mwandishi wa BBC alikosa jibu akaanza kuweweseka tu.
Unachoshindwa kuelewa Ni Kwamba,Rais wa Marekani hawezi kumtesa Wala kumwonea Raia wa nchi ya Marekani harafu mahakama za Marekani zikamwacha Salama. Mfano Ni Vita vya Iraq. Vita vya Iraq havikuua hata Raia mmoja wa Marekani(Wanajeshi tu),lakini viliua maelfu ya Raia wa Iraq na Wanajeshi pia. Mahakama za Marekani haziwezi kumhukumu Rais wa Marekani kwa makosa aliyoyafanya nje ya Taifa la Marekani.

Ukija huku Shithole Kama huko Beralus,unakuta jitu linajiita Rais lakini linaua Raia wa nchi yake,hivi unategemea Ni raia wa nchi gani ambaye atawaunga mkono?
 
Kwahio ushujaa wa USA Ni kujali raia wake na kuua raia wa nchi nyingine sio?Unaona huu Ni ushujaa Sana sababu hao watu wengine wao Haki za binadamu (Haki ya kuishi) haiwahusu sio?No wonder wanajeshi wa US wanaondesha drones waliua watu wasio na hatia huko Afghanistan wakiwemo mpk watoto na jeshi la US Jana limesema halina interest yoyote Ile ya kuwafungulia mashitaka wanajeshi wake walioua raia wasio na hatia,kumbe Haki za binadamu hua zinawahusu wamarekani tu lkn watu wengine wote kwao wanawaaona Ni mikunduh tu.

Nimekupata vyema
 
Unatakiwa kuelewa kwamba;

Sio wajibu wa Rais wa Marekani kulinda Usalama wa Raia wa Tanzania Wala Malawi,Ni Wajibu wa Tanzania na Malawi kulinda Usalama wa Raia wa nchi zao.

Utafananisha Marekani inayokwenda kupigana kwenye mataifa ya mbali ikiwezekana hata kuua Raia wa hizo nchi ili kulinda Usalama wa Raia wa Marekani,Harafu kwenye Shithole Countries Rais anaua watu wa nchi yake mwenyewe ili kusalia madarakani. Ndio maana ikipigwa Kura za wamarekani wanaounga mkono Bush apelekwe ICC kwa Makosa ya Jinai huko Iraq asilimia kubwa watakataa asipelekwe. Kinyume chake,Ipigwe Kura kwa wananchi wa Beralus kuhusu Rais wao apelekwe ICC kwa Mauaji na ukandamizaji nchini mwake uone kura zitakavyo mwangukia za kufungwa ICC.
 
Umekaririshwa Marekani ameua wengi, watu muhimu kuliko taifa lolote duniani hata Washirika wao kwa miaka 80 iliyopita. Hii ni kuendeleza super power yao status, kutawala dunia.
 
Unatakiwa kuelewa kwamba;

Sio wajibu wa Rais wa Marekani kulinda Usalama wa Raia wa Tanzania Wala Malawi,Ni Wajibu wa Tanzania na Malawi kulinda Usalama wa Raia wa nchi zao.

Utafananisha Marekani inayokwenda kupigana kwenye mataifa ya mbali ikiwezekana hata kuua Raia wa hizo nchi ili kulinda Usalama wa Raia wa Marekani,Harafu kwenye Shithole Countries Rais anaua watu wa nchi yake mwenyewe ili kusalia madarakani. Ndio maana ikipigwa Kura za wamarekani wanaounga mkono Bush apelekwe ICC kwa Makosa ya Jinai huko Iraq asilimia kubwa watakataa asipelekwe. Kinyume chake,Ipigwe Kura kwa wananchi wa Beralus kuhusu Rais wao apelekwe ICC kwa Mauaji na ukandamizaji nchini mwake uone kura zitakavyo mwangukia za kufungwa ICC.
It's utter nonsense,hakuna unachoweza kutetea,hakuna Haki za binadamu flani zilizo superior kuliko Haki za binadamu wengine.Wamarekani Ni wauaji Kama wauaji wengine wowote Wala na hizo Haki za binadamu unazoongea ni upuuzi mtupu.

Thamani ya Maisha ya raia 1 wa Afghanistan Ni sawasawa na thamani ya Maisha ya raia 1 wa US/West,hakuna exception kwny Hilo.Hilo la wamarekani kwenda kuua watu wengine kwny nchi za mbali in the name of Ugaidi,kuleta demokrasia,haki za binadamu Ni ujinga tu.Wao Ni wauaji wakubwa wa watu.Yenyewe ndio ya kwanza kuongelea mahakama za kimataifa za makosa ya kivita na yenyewe ndio ya kwanza kugoma kusaini mikataba ya mahakama hizo ili Marais wao wapenda Vita na mauaji wasipelekwe huko.

Uzuri kote huko US ilikoenda Kama Libya, Afghanistan,Iraq,Syria tumeona demokrasia Yao iliyoleta mambo kule, na mambo yake ya Haki za binadamu.Na sasa nchi hizo zimekua "NZURI" kuliko walivyozikuta 😄😄😄😄
 
It's utter nonsense,hakuna unachoweza kutetea,hakuna Haki za binadamu flani zilizo superior kuliko Haki za binadamu wengine.Wamarekani Ni wauaji Kama wauaji wengine wowote Wala na hizo Haki za binadamu unazoongea ni upuuzi mtupu.

Thamani ya Maisha ya raia 1 wa Afghanistan Ni sawasawa na thamani ya Maisha ya raia 1 wa US/West,hakuna exception kwny Hilo.Hilo la wamarekani kwenda kuua watu wengine kwny nchi za mbali in the name of Ugaidi,kuleta demokrasia,haki za binadamu Ni ujinga tu.Wao Ni wauaji wakubwa wa watu.Yenyewe ndio ya kwanza kuongelea mahakama za kimataifa za makosa ya kivita na yenyewe ndio ya kwanza kugoma kusaini mikataba ya mahakama hizo ili Marais wao wapenda Vita na mauaji wasipelekwe huko.

Uzuri kote huko US ilikoenda Kama Libya, Afghanistan,Iraq,Syria tumeona demokrasia Yao iliyoleta mambo kule, na mambo yake ya Haki za binadamu.Na sasa nchi hizo zimekua "NZURI" kuliko walivyozikuta [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Badala ya kujenga hoja unaleta Malalamiko. Haya nenda kawafungulie mashtaka.

Marekani inalinda Raia wake huku nyie Shithole mkiua Raia wenu wenyewe ili msalie madarakani,Nani Fala hapo?
 
Fala Ni yule anayejifanya yeye ndio bingwa wa Haki za binadamu duniani wkt huo huo anamhukumu mwandishi wa habari Assange kifungo Cha miaka 175.Such hypocrite,shithole Haki za binadamu
 
Kwani Nchi yake ya huyo Assange inashindwa Nini kumtetea?
 
Back
Top Bottom