Mahakama yaamuru aliyevunjiwa Ghorofa na Jerry Silaa alipwe Tsh. 3.2 Bilioni

Shida ya Tanzania kila kitu ni siasa. Hapo hukumu inapindishwa kisa tu kumkomoa Jerry slaa. Awamu ijayo akirudi tena naye atafufua kesi na kuwabomolea tena!!

Kwanini mahakama haiwezi kuwa huru, ni ngumu sana ukiwa against serikali na kushinda kesi.
 
Baada ya kesi kusikilizwa mwanzo mwisho, mapingamizi, na mapingamizi juu yake hatimaye mahakama kuu yafikia uamuzi leo

0 2 February 2026

MAHAKAMA IMEAGIZA KWAMBA ALIYEBOMOLEWA NYUMBA MBEZI BEACH ALIPWE MABILIONI /JERRY ...​



View: https://m.youtube.com/watch?v=Bl7lLZoBmrc
 
TOKA MAKTABA :

2024 Machi 18
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi amesema yule anayedaiwa kuwa utapeli wa viwanja aliyevunjiwa ghorofa ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam anayejulikana kwa jina Mahululu tayari jeshi la polisi limemkamata akiwa Dodoma na upelelezi unawndelea ili kufikishwa katika hatua za kisheria zaidi. Silaa ameyasema hayo akiwa katika kituo cha polisi Osterbay mkoa wa polisi Kinondoni.

View: https://m.youtube.com/watch?v=hnatssSpfzQ
 

Toka maktaba​

Machi 21, 2024​

WAZIRI JERRY SILAA MATATANI, ADAIWA FIDIA BILIONI20, ATUHUMIWA KUBOMOA NYUMBA KINYUME CHA SHERIA, MAZITO MENGI JUU YA UTENDAJI WA SILAA YAIBULIWA !​

26,098 views / Mitazamo


View: https://m.youtube.com/watch?v=P7ehOqF8SJw
Wakili msomi Dickson Matata anayemsimamia mteja wake Johnson Mahururu anaelezea mkasa mzima wa mteja wake kudhulumiwa haki yake, hii ni baada ya waziri Jerry Silaa kutoa taarifa kwa umma ambazo hazikuwa sahihi, na hivyo mteja wake Johnson Mahururu, kuhukumiwa na maoni ya umma ktk vyombo vya habari.

Wakili msomi Dickson Matata alisema yeye pamoja na mteja wake Johnson Mahururu waliamua kukaa kimya baada ya tukio hilo la mteja wake kubomolewa jumba lake kwa kuwa kesi ilikuwa mahakamani

Ila baada ya habari potofu kusambazwa sana, imebidi tarehe 21 Machi 2024 watoke kuelezea umma nini kinaendelea mahakamani kuhusu suala hilo

Mazito kuhusu kamishna wa ardhi na waziri wake yaibuliwa, ...
 
Du! Haya maCCM ni shida sana. Yaani yanavunja nyumba ya mtu kibwege halafu mahakama za kipuuzi za CCM zinakataa asilipwe gharama ya jengo shilingi bilion 16 kwa kisingizio cha kutokuwa na kibali cha ujenzi? ***** zenu nyie mambwa!
 
Mmmh!Sasa kwa stail hii kuna haja gani ya wananchi kuuziwa ardhi?Kwanini viwanja visiwe vinagaiwa bule na serikali kwakua yenyewe ndo msimamiz mkuu na pia ukizingatia hiyo ardhi yenyewe tunakodishwa kwa mkataba wa miaka kadhaa? Hii itaondoa migogoro ya ardhi kama hiyo kuanza kulipishana mabilion ya Tsh.
Mi naona tufanye kwamba ardhi yote irudi serikalin hivyo yeyote atakae hitaji kipande kama ni kiwanja au shamba basi ajaze form halmashaul wamkatie kwa umiliki halali na iwe marufuku kuuziana tena baina ya mtu na mtu,any transfer of ownership serikal ihusike
 
Shida ya Tanzania kila kitu ni siasa. Hapo hukumu inapindishwa kisa tu kumkomoa Jerry slaa. Awamu ijayo akirudi tena naye atafufua kesi na kuwabomolea tena!!

Kwanini mahakama haiwezi kuwa huru, ni ngumu sana ukiwa against serikali na kushinda kesi.
Hii ni mbinu ya Jerry kumalizwa, mwenzake jenista ndo akapelekwa akhera madukani.
Duuuh ila CCM, kweli chama cha mapinduzi.
Pindua pindua, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeongea point kubwa sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…