The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
CCM wajinga sana. Ubaya unawarudia wenyeweJerry katafutiwa njia ya kumalizwa
CCM wajinga sana. Ubaya unawarudia wenyeweJerry katafutiwa njia ya kumalizwa
Kumbe na wewe umeliona hilo kiongozi.Ni vigumu "mdaiwa" kushinda Hana mtetezi siku hizi!
Nakuhakikishia Jerry alikuwa sahihi ila sasa hivi msemo wa paka ametoka na panya wanatawala umeshika hatamu huko kwenye idara mbalimbali za Siri kali.Jerry alikosea nini kwani?
Mchongo huo mkuu, silaa mwemyew anakata fungu lake anapita hiviMahakama za Tanzania ni za ******* sana.kipindi inabomolewa zilitumika mahakama hizihizi na Kwa Sasa Tena zimegeuka
hii ni tafsiri ya namna nchi yetu ilivyo ya vichaaMahakama za Tanzania ni za ******* sana.kipindi inabomolewa zilitumika mahakama hizihizi na Kwa Sasa Tena zimegeuka
Aisee,au alikanyaga pande la wakubwa?Nakuhakikishia Jerry alikuwa sahihi ila sasa hivi msemo wa paka ametoka na panya wanatawala umeshika hatamu huko kwenye idara mbalimbali za Siri kali.
Mahakama tz ni zaidi ya usengerema wa makunduchi, ni upuuzi mtupuMahakama za Tanzania ni za ******* sana.kipindi inabomolewa zilitumika mahakama hizihizi na Kwa Sasa Tena zimegeuka
Timu za uraisi zinammaliza JerryAisee,au alikanyaga pande la wakubwa?
Timu za uraisi 2030 zitammaliza rasmi JSijui alikosea wapi huyu baba, mbona atamalizwa kabisaaa.