Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Hapo hata akiuza mali zake zote, auze familia na ukoo wake wote ajiuze na yeye mwenyewe hatoboi
Aende nyumbani kwa Membe akafanye kazi za bustani angalau kwa miaka 10 ili kupunguza makali ya deni.
 
Ukiipasua bulb,utakuwa gizani. Huyu mtu alikuwa anaandika highly classified intelligence reports. What have you got against that?
Membe alikuwa kwenye kashfa ya kupitisha hela airport. Lile swala liliisha vipi?

Highly classified intelligence kwenye kijarida cha Tanzanite na YouTube?
 
Ntumie picha yako iwekwe kwenye bendela ya nchi
 
[emoji28][emoji38][emoji1787] sikuwahi kufikiria kuwa bado tuna watu wa ajabu kiasi hiki hata baada ya kufutwa kwa ngumbaru!! Niacheni nimalizie kucheka[emoji1787][emoji38][emoji28]
Haki hata mm nimekusaidia kucheka.
 
Musiba mwenyewe yule!!!??? Hivi watu wengine bana!hamuoni hata aibu kuomba Billion! zooote hizo kwa mjita yule maskini? azitoe wapi? kwanza hata hakimbii!! yuko hapo Mwibara mmtafune sasa tuone!

kakimbia kimbia huko Kingdom of Lesotho!! weee!! waka mwambia bwana wee! rudi tu! kaa tuone! watakacho kufanya hao! ila jamani kasi yake ya kula chips!! ilinishangaza sana, ana maneno meengi!!

leo hii hata ukiambiwa huyu ndo yule Msiba hutaamni macho yako kagazeti kufilia kwa mbaki kureee! yule alijua tu hata mwisho mbaya ukija yeye shega tu! hata Membe ataona aibu kumshitaki! hata leo hii sami akisema anataka watu km Msiba mbona atakimbia mwenyewe!

jamani muwe wa kweli tu! mleta Mada leo hii ukipewa kazi km ya Msiba!! utaaacha fweza weye? na umiliki wa kagazeti kako juu!? unalindwa unam tetea!! hivi nani asiye penda upambe wa Rais?
 
Lakin kwanini hiyo hukumu haikutoka mwendazake akiwa hai kwanini zinatoka saivi akiwa hayupo kwa mantiki hiyo kwanini tusiseme na mahakama zinatumika kumkandamiza musiba,Kama mahakama basi zinaiogopa taasisi ya urais basi hakuna uhuru wa mahakama hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…