Mahakama yaanzisha matumizi ya akili bandia (Artificial Intelligence)

Mashine translation Kuna vitu ambavyo haiwezi kutafsiri vizuri mfano, mgaagaa anaupwa Hali wali mkavu, mchelea mwana kulia hulia yeye.
nani kakwambia haiwezi kutafasiri?
umeambiwa hiyo ni akili bandia na hivyo inauwezo wa kutafasiri kila kitu.
 
wacha kujipa wasiwasi teknolojia imesonga mbele sana, onaonekana wewe bado uko nyuma sana ya teknolojia.
 
Mahakamani Watu wanatamka Hadi vilugha, sijui itakuaje Apo[emoji848]
 
Mahakamani Watu wanatamka Hadi vilugha, sijui itakuaje Apo[emoji848]
 
tumeiga tokea nchi gani ???tuanzie hapo.
 
Halafu ameiita bandia, nilidhani neno bandia ni fake

AI Artificial Intelligence bora hata wangeiita Akili Ingine a.k.a AI ni rahisi kufanya rejea AI ya kingereza kwa AI ya kiswahili AKILI INGINE
 
Huyu mtendaji hana lolote anapenda publicity huyu ,boresha maisha ya watumishi na sio kuwapelekapeleka tu kma gari bovu kupata cheap publicity.
acheni majungu na fitina! hili ndilo tatizo kubwa mlilo nalo watumishi!!! manaendekeza sana kupigana majungu!!

kazi yenu ni kupigana majungu na kufitiniana, kazi kuangushana tu!!!
mkiona mtu anafanya vizuri mnampiga majungu na kufitini!!! mnatia kinyaa!!!

kamwe hamuwezi kuendelea kama mtaendekeza roho mbaya na tabia ya kupigana majungu.
 
Sawa sawa
 
AI Artificial Intelligence bora hata wangeiita Akili Ingine a.k.a AI ni rahisi kufanya rejea AI ya kingereza kwa AI ya kiswahili AKILI INGINE
"INGINE" sio kiswahili sanifu
 
Kakutuma?Mwambie aache kutafuta kiko kupata umaarufu kwa Rais ahhahahaa
 
Siyo matumizi ya akili bandia; ni matumizi ya vifaa vinavyotumia akili bandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…