Mahakama yaitaka nchi ya Mongolia kumkamata Putin

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
My Take
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.

=========

Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili, Safari hiyo, inayotarajiwa kufanyika Jumanne itakuwa ni mara ya kwanza kwa Putin kutembelea nchi mwanachama wa ICC tangu mahakama hiyo kutoa kibali cha kumkamata mwezi Machi 2023.

Mahakama hiyo inamtuhumu Putin kwa uhalifu wa kivita, ikidai kuwa alishindwa kuzuia ufurushwaji haramu wa watoto kutoka Ukraine hadi Urusi tangu kuzuka kwa mzozo kati ya nchi hizo mbili. Maafisa nchini Ukraine wamekuwa wakitoa wito kwa Mongolia kumkamata Putin mara tu atakapowasili nchini humo.

Hata hivyo, Kremlin imejibu kuwa haina wasiwasi kuhusu ziara hiyo. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov, alieleza kuwa Urusi ina uhusiano mzuri na Mongolia, akisema, "Bila shaka, vipengele vyote vya ziara ya Rais vimetayarishwa kwa makini."

Naye Msemaji wa ICC, Dkt Fadi el-Abdallah alieleza kuwa mahakama hiyo inategemea ushirikiano kutoka kwa nchi wanachama wake, ikiwa ni pamoja na Mongolia, ili kutekeleza maamuzi yake. Aliongeza kuwa Mongolia ina wajibu wa kushirikiana na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na kufuata kibali cha kumkamata Putin.

Mbali na Putin, ICC pia imetoa kibali cha kukamatwa kwa Maria Lvova-Belova, kamishna wa haki za watoto wa Urusi kwa mashtaka yanayofanana na yale yanayomkabili Putin. Uhalifu huu unadaiwa kufanyika Ukraine tangu tarehe 24 Februari 2022, wakati Urusi ilipoanzisha uvamizi wake.

Moscow imekanusha madai hayo na kuyataja kuwa "ya kuudhi." Dkt Abdallah alibainisha kuwa ICC itaendelea kufuatilia nchi wanachama wake ambao hawatashirikiana, na majaji wa mahakama hiyo wataarifu Bunge la Nchi Wanachama, ambalo linaweza kuchukua hatua stahiki.

Mahakama ya ICC haina mamlaka ya moja kwa moja ya kuwakamata washukiwa na inategemea ushirikiano wa nchi wanachama wake ili kutekeleza maamuzi yake.
 
My Take
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hiki ni kituko πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ˜‚ kituko
 
Kituko Cha mwaka.

Ukraine ambaye ndio mlalamikaji sio mwanachama wa mahakama hiyo hivyo Hana rights kwani sio mwanachama.

Pili mlalamikiwa ambaye ni URUSI sio mwanachama wa mahakama hiyo na hivyo mahakama hiyo haina mamlaka juu yake.

Hii tumeona pia Israel na Marekani
Hawajamkamata Netanyau kwa kigezo hicho hicho.

Hivyo hiki ni kichekesho Cha mwaka.
 
My Take
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hiki ni kituko πŸ‘‡πŸ‘‡

=========

Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili, Safari hiyo, inayotarajiwa kufanyika Jumanne itakuwa ni mara ya kwanza kwa Putin kutembelea nchi mwanachama wa ICC tangu mahakama hiyo kutoa kibali cha kumkamata mwezi Machi 2023.

Mahakama hiyo inamtuhumu Putin kwa uhalifu wa kivita, ikidai kuwa alishindwa kuzuia ufurushwaji haramu wa watoto kutoka Ukraine hadi Urusi tangu kuzuka kwa mzozo kati ya nchi hizo mbili. Maafisa nchini Ukraine wamekuwa wakitoa wito kwa Mongolia kumkamata Putin mara tu atakapowasili nchini humo.

Hata hivyo, Kremlin imejibu kuwa haina wasiwasi kuhusu ziara hiyo. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov, alieleza kuwa Urusi ina uhusiano mzuri na Mongolia, akisema, "Bila shaka, vipengele vyote vya ziara ya Rais vimetayarishwa kwa makini."

Naye Msemaji wa ICC, Dkt Fadi el-Abdallah alieleza kuwa mahakama hiyo inategemea ushirikiano kutoka kwa nchi wanachama wake, ikiwa ni pamoja na Mongolia, ili kutekeleza maamuzi yake. Aliongeza kuwa Mongolia ina wajibu wa kushirikiana na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na kufuata kibali cha kumkamata Putin.

Mbali na Putin, ICC pia imetoa kibali cha kukamatwa kwa Maria Lvova-Belova, kamishna wa haki za watoto wa Urusi kwa mashtaka yanayofanana na yale yanayomkabili Putin. Uhalifu huu unadaiwa kufanyika Ukraine tangu tarehe 24 Februari 2022, wakati Urusi ilipoanzisha uvamizi wake.

Moscow imekanusha madai hayo na kuyataja kuwa "ya kuudhi." Dkt Abdallah alibainisha kuwa ICC itaendelea kufuatilia nchi wanachama wake ambao hawatashirikiana, na majaji wa mahakama hiyo wataarifu Bunge la Nchi Wanachama, ambalo linaweza kuchukua hatua stahiki.

Mahakama ya ICC haina mamlaka ya moja kwa moja ya kuwakamata washukiwa na inategemea ushirikiano wa nchi wanachama wake ili kutekeleza maamuzi yake.

Mods badilini heading isomeke Mahakama ya ICC yaitaka Mongolia Kumkamata Putin.
 
Putin hawezi kwenda Mongolia, vipi South Africa alikwenda? Anaogopa kuyatimba.
Putin anaweza kwenda Mongolia na wala asiweze kukamatwa kwa sababu Utawala na Watawala wa Mongolia hawana tofauti na wale watawala wa nchi ya Urusi.
 
My Take
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.

=========

Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili, Safari hiyo, inayotarajiwa kufanyika Jumanne itakuwa ni mara ya kwanza kwa Putin kutembelea nchi mwanachama wa ICC tangu mahakama hiyo kutoa kibali cha kumkamata mwezi Machi 2023.

Mahakama hiyo inamtuhumu Putin kwa uhalifu wa kivita, ikidai kuwa alishindwa kuzuia ufurushwaji haramu wa watoto kutoka Ukraine hadi Urusi tangu kuzuka kwa mzozo kati ya nchi hizo mbili. Maafisa nchini Ukraine wamekuwa wakitoa wito kwa Mongolia kumkamata Putin mara tu atakapowasili nchini humo.

Hata hivyo, Kremlin imejibu kuwa haina wasiwasi kuhusu ziara hiyo. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov, alieleza kuwa Urusi ina uhusiano mzuri na Mongolia, akisema, "Bila shaka, vipengele vyote vya ziara ya Rais vimetayarishwa kwa makini."

Naye Msemaji wa ICC, Dkt Fadi el-Abdallah alieleza kuwa mahakama hiyo inategemea ushirikiano kutoka kwa nchi wanachama wake, ikiwa ni pamoja na Mongolia, ili kutekeleza maamuzi yake. Aliongeza kuwa Mongolia ina wajibu wa kushirikiana na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na kufuata kibali cha kumkamata Putin.

Mbali na Putin, ICC pia imetoa kibali cha kukamatwa kwa Maria Lvova-Belova, kamishna wa haki za watoto wa Urusi kwa mashtaka yanayofanana na yale yanayomkabili Putin. Uhalifu huu unadaiwa kufanyika Ukraine tangu tarehe 24 Februari 2022, wakati Urusi ilipoanzisha uvamizi wake.

Moscow imekanusha madai hayo na kuyataja kuwa "ya kuudhi." Dkt Abdallah alibainisha kuwa ICC itaendelea kufuatilia nchi wanachama wake ambao hawatashirikiana, na majaji wa mahakama hiyo wataarifu Bunge la Nchi Wanachama, ambalo linaweza kuchukua hatua stahiki.

Mahakama ya ICC haina mamlaka ya moja kwa moja ya kuwakamata washukiwa na inategemea ushirikiano wa nchi wanachama wake ili kutekeleza maamuzi yake.

Ataenda na hawatamfanya kitu
 
Usichokijua Mongolia ni Landlocked na mambo mengi kiuchumi wanaitegemea Russia.
Mogolia imebanwa na China na Russia.
Yenyewe iko katikati.
Yani Mongolia kumkamata Putin ni sawa na kuangamiza taifa lake lenyewe.
Nimekwambia hofu ndiyo haitampeleka.
Kwani nchi ikiwa landlocked ndiyo inakuwa mateka?
 
Nilichozungumzia economic potentials ambazo Mongolia zitamfanya abinywe na Russia.
Unadhani bidhaa huyo anapitisha wapi!?
Embu kasome Mongolia anamtegemea vipi Russia kiuchumi.

Hiyo kuhusu hofu hatujui tusubiri tuone.
 
My Take
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.

=========

Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili, Safari hiyo, inayotarajiwa kufanyika Jumanne itakuwa ni mara ya kwanza kwa Putin kutembelea nchi mwanachama wa ICC tangu mahakama hiyo kutoa kibali cha kumkamata mwezi Machi 2023.

Mahakama hiyo inamtuhumu Putin kwa uhalifu wa kivita, ikidai kuwa alishindwa kuzuia ufurushwaji haramu wa watoto kutoka Ukraine hadi Urusi tangu kuzuka kwa mzozo kati ya nchi hizo mbili. Maafisa nchini Ukraine wamekuwa wakitoa wito kwa Mongolia kumkamata Putin mara tu atakapowasili nchini humo.

Hata hivyo, Kremlin imejibu kuwa haina wasiwasi kuhusu ziara hiyo. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov, alieleza kuwa Urusi ina uhusiano mzuri na Mongolia, akisema, "Bila shaka, vipengele vyote vya ziara ya Rais vimetayarishwa kwa makini."

Naye Msemaji wa ICC, Dkt Fadi el-Abdallah alieleza kuwa mahakama hiyo inategemea ushirikiano kutoka kwa nchi wanachama wake, ikiwa ni pamoja na Mongolia, ili kutekeleza maamuzi yake. Aliongeza kuwa Mongolia ina wajibu wa kushirikiana na mahakama hiyo, ikiwa ni pamoja na kufuata kibali cha kumkamata Putin.

Mbali na Putin, ICC pia imetoa kibali cha kukamatwa kwa Maria Lvova-Belova, kamishna wa haki za watoto wa Urusi kwa mashtaka yanayofanana na yale yanayomkabili Putin. Uhalifu huu unadaiwa kufanyika Ukraine tangu tarehe 24 Februari 2022, wakati Urusi ilipoanzisha uvamizi wake.

Moscow imekanusha madai hayo na kuyataja kuwa "ya kuudhi." Dkt Abdallah alibainisha kuwa ICC itaendelea kufuatilia nchi wanachama wake ambao hawatashirikiana, na majaji wa mahakama hiyo wataarifu Bunge la Nchi Wanachama, ambalo linaweza kuchukua hatua stahiki.

Mahakama ya ICC haina mamlaka ya moja kwa moja ya kuwakamata washukiwa na inategemea ushirikiano wa nchi wanachama wake ili kutekeleza maamuzi yake.

Cc adriz
 
Back
Top Bottom