Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.
Kwahiyo unafurahia ?Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.
Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.
Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Lazima afurahie, unajua ni wangapi wangekufa kutokana na uasi wake? Unajua amani ya nchi ingekuaje?Kwahiyo unafurahia ?
Why not? Mtu anataka kuharibu amani ya nchi yetu kwa tamaa ya kuwa Rais akisaidiwa na Mabeberu na Wakenya!!Kwahiyo unafurahia ?
Akifungwa kwa hila watoto wako, au familia yako itanufaika na nini?Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.
Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.
Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Ni kweli mkuu ulichosema. Eti kuna wajinga wanadai kuwa "Lissu alisema tu ataanzisha uasi" lakini "hajatenda".Lazima afurahie, unajua ni wangapi wangekufa kutokana na uasi wake? Unajua amani ya nchi ingekuaje?
Ni furaha vyombo vya ulinzi vinapotambua majukumu yake kwa kudhibiti watu kama hawa
Tutaendelea kuwa na amani pamoja na familia yako na watoto wako pia.Akifungwa kwa hila watoto wako, au familia yako itanufaika na nini?
Mbona wasiojulikana wanacheka nao au hayo mauwaji na utekaji sio uvunjifu wa amani?Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.
Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.
Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
HIvi Tanzania tunashika nafasi ya ngapi katika orodha ya nchi zenye amani na utulivu?Why not? Mtu anataka kuharibu amani ya nchi yetu kwa tamaa ya kuwa Rais akisaidiwa na Mabeberu na Wakenya!!
Muache akae kabatini kwanza mpaka akili imrudi
kwa hulka yake,Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo.
"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"
==
Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.
Ila twende mbele turudi nyuma lissu ni mtu hatari sana kama akiwa mpinzani wako, maana alivyokinukisha huko nje ya nchi na kaamua kujitetea mwenyewe ni kuonyesha anajiamini vipi na atawasumbua kuliko hata wangekuwa hao mawakili wakeBaada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo.
"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"
==
Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.
Mbowe katolewa kwa hila gani ? Je si kweli kwamba palikuwepo na malalamiko kwamba mboye amekaa muda mrefu CDM na ni mali yake binafsi?Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.