PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bonge la jibu..AKILI KUBWA SANA HII
Watu ambao wamezaliwa wamikuta nchi imetulia hawawezi kuelewa. Angalia jirani zetu DRC, Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya. Historia tuliyopitia ni tofauti.

Wenzetu aidha wamepitia au wanaendelea kupita kwenye bonde la mauti
 
Kwa sasa ni kama mahakama ipo chini ya mhimili mwingine.

Amri zake zinapuuzwa tu kama jamaa bado kakaziwa kuonana na mawakili wake hadi leo.
 
Kwa hiyo kuanzia sasa tutashudia Lissu mmoja akipambana na Mawakili wote wa serikali kandamizi!! Hakika Tanganyika ilichelewa sana kumpata mtu aina ya Tundu Lissu.
 
ruzuku imekatwa, hata kuwalipa angeshindwa, mawakili wote wale sidhani kama walikuwa wanawakilisha bure. nampa pole Lisu.
 
hivi wewe una akili vizuri unasema Lisu anahatarisha amani? tumia akaili Lisu hana jeshi bali anawaambia watu ukweli waache wabishane kwa hoja kamati kuu ya chadema ilisema kama hakuna reform hakuna uchaguzi hivyo yeye katumwa na kamati kuu hivyo yeye anasimamia maamuzi ya kamati kuu. Lisu ni mtanzania na hatetei maslai yake mwenyewe bali anakutetea wewe
 
kwa hulka yake,
Lazima atatenda kosa lingine la kisheria na kujiongezea matatizo zaidi ya kisheria tena akiwa mahakamani 🐒
1. Hajawahi kushindwa kesi yoyote aliyosimama kama Wakili; Nyamongo Tarime, Lijualikali Kilomembero, Dr Slaa, Karatu nk

2. Na katika kesi makumi yalifunguliwa dhidi yake kwa hila tu kama hii inayoendelea sasa kuanzia kwa Ben Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia, hakuna kesi hata Moja amewahi kukutwa na hatia na kuhukumiwa adhabu..!

#Kama una kumbukumbu tofauti na hii, shuka hapa tuambie..

#Hii nayo (mark my words) haiendi popote. It's aidha Jamhuri itaweka Mpira kwapani na kutimua mbio au ikae mkao wa kupigwa TKO pamoja na "maelekezo toka juu..."

#Kujua kesi ina uelekeo gani huwa ni mara ushahidi ukianza kutolewa na mashahidi wa washitaki...

# Leo shahidi wa kwanza tu ameonesha wazi kuwa hajui anachotetea. Na mawakili wa Republic wanajaribu kuomba hisani ya kupata protection fulani ya upendeleo kwa hakimu...

#That's absolutely pathetic. Hakuna kesi hapa, ni ujinga tu wa Chura Kiziwi na watu wake unaoendelea hapo🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Dada kwa shahidi wenu aliefeli form 2 hata hakimu kichaa hawezi kunsikiliza...lissu mmoja ni sawa na wanaccm na policeccm wote tanzania
 
huenda amewahi kushinda njaa pekee jentleman,
huyo mropokaji hana historia ya kusimamia kesi mahakamani
 
Kifupi Lisu hana imani na mawakili wake ndio maana kawatoa

Ni kwamba Tundu Lissu sasa atakuwa anaongoza jopo la Mawakil, yaani Tundu Lissu bado anahuduma ya Mawakili wake ila atawaongoza kama wakili kiongozi.

NELSON MANDELA RULE aliyoitaja Tundu Lissu leo mahakamani Kisutu ndiyo upande wake wameamua kuitumia

  • Extracts from the court record of the trial of Mandela held in the Old Synagogue court, Pretoria, from 15 October to 7 November 1962. Mandela was accused on two counts, that of inciting persons to strike illegally (during the 1961 stay-at-home) and that of leaving the country without a valid passport. He conducted his own defence.
MANDELA:
Your Worship, before I plead to the charge, there are one or two points I would like to raise.


Firstly, Your Worship will recall that this matter was postponed last Monday at my request until today, to enable Counsel to make the arrangements to be available here today.


Although Counsel is now available, after consultation with him and my attorneys, I have elected to conduct my own defence.


Some time during the progress of these proceedings, I hope to be able to indicate that this case is a trial of the aspirations of the African people, and because of that I thought it proper to conduct my own defence.
 
Mengi tumeyafahamu kupitia Nelson Mandela Rules ambazo leo hii 16June 2025 mshitakiwa Tundu Lissu alipotoa hoja :

High-level presentation of the Nelson Mandela Rules: Statement of Prof. Njabulo Ndebele​


View: https://m.youtube.com/watch?v=s03W72NuGKgThe revised “UN Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners”. were recommended to be known as “the Nelson Mandela Rules” in order to honour the legacy of the late President of South Africa, Nelson Rolihlahla Mandela.
 

Peter Kibatala naye afafanua haki za mahabusu/ mtuhumiwa kwa mujibu wa Mandela Rules ambazo sasa ni taratibu rasmi Umoja wa Mataifa inazitambua Mandela Rules ndiyo msingi na utaratibu sahihi wa haki za mahabusu au mfugwa yoyote duniani


View: https://m.youtube.com/watch?v=vZWIb05TgIA
 
Sasa kama siyo kazi yako. Ni kina kuwasha mpaka hapo ulipo huwezi kukaa kwa kutulia?
Jibu kama mtu mwenye akili timamu
Mwisho wa siku wote mtachnganyikiwa maana chama hakina wazee wa kuwapa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…