Ataileta hiyo Kamati Kuu Mahakamani iliyomtuma kusema No Elections. Yaani mtu anaropoka ropoka ulitaka wamchekee?? Aropoke huko CHADEMA lakini siyo masuala ya kitaifahivi wewe una akili vizuri unasema Lisu anahatarisha amani? tumia akaili Lisu hana jeshi bali anawaambia watu ukweli waache wabishane kwa hoja kamati kuu ya chadema ilisema kama hakuna reform hakuna uchaguzi hivyo yeye katumwa na kamati kuu hivyo yeye anasimamia maamuzi ya kamati kuu. Lisu ni mtanzania na hatetei maslai yake mwenyewe bali anakutetea wewe
Ni kweli una uchungu na watu watakaokufa au unauchungu na mali mlizijimilikisha kwa mchongo?Lazima afurahie, unajua ni wangapi wangekufa kutokana na uasi wake? Unajua amani ya nchi ingekuaje?
Ni furaha vyombo vya ulinzi vinapotambua majukumu yake kwa kudhibiti watu kama hawa
Hata ukiniambia Lissu mmoja ni sawa na CCM 10 milioni lakini si huyo katulizwa kabatini!!Dada kwa shahidi wenu aliefeli form 2 hata hakimu kichaa hawezi kunsikiliza...lissu mmoja ni sawa na wanaccm na policeccm wote tanzania
Una changamoto ya ushamba na roho ya kijicho.Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.
Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.
Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Na wewe una changamoto ya ubustani ma roho ya kisikioUna changamoto ya ushamba na roho ya kijicho.
hii inaitwa Lisu is direct proportional to the state attorneys when the Judge is constantBaada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo
"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu, mlifanya majukumu yenu na mliyafanya kwa usahihi. Hivyo ninaichukua kesi hii mikononi mwangu tena. Kwahiyo Mheshimiwa 'from now on' mimi ndiye nitakaojibizana na hao mawakili wa serikali",
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu ambayo ni kumruhusu Lissu kukabiliana moja kwa moja na Mawakili upande wa Jamhuri na si Mawakili wake kufanya hivyo mpaka atakapoamua vinginevyo.
Hakimu amesema...
"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"
==
Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.
Kuna aliyemtuma kuongea lugha za kihaini? Kila moja apigane vita vyakeKwahiyo unafurahia ?
AsirudieYatapita...
Na arudie tena yatajirudiaYote haya yatapita na tutashinda kwa kishindo
👏👏Yap hapo ndiyo tutapata sheria halisi
lazma umkubali Lisu hata kwa unafikiKibatala na genge lake warudishe hela zetu, na huyo Rugemeleza Nshala
Nani kamkataalazma umkubali Lisu hata kwa unafiki
The Old Synagogue Court Pretoria holds a special historical significance as it is where, among others, Nelson Mandela and his co-accused appeared for the Rivonia treason trial. An inquest into Steve Biko's unnatural death was also held there.