Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 79
amliupe
lilikuwa ni kosa la uchapishaji,nimekwisha lirekebisha na hii ilitokana na furaha kubwa niliokuwa nayoHili neno linamaana gani?
lilikuwa ni kosa la uchapishaji,nimekwisha lirekebisha na hii ilitokana na furaha kubwa niliokuwa nayo
Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etcIs this a koke or something serius?
Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etc
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta
Source pleaseHatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta
Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etc
Source ya nini wakati mimi ndio nakwambia?????? unataka kujua nini cha ziada?hio ndio hukumu na ilikuwa ikiendeshwa na wakili Kennedy Fungamtama,ambapo kutokana na ujinga wa Kubenea alishindwa kufata taratibu za kisheria na matokeo yake ikasikilizwa upande mmojaSource please
Source ya nini wakati mimi ndio nakwambia?????? unataka kujua nini cha ziada?hio ndio hukumu na ilikuwa ikiendeshwa na wakili Kennedy Fungamtama,ambapo kutokana na ujinga wa Kubenea alishindwa kufata taratibu za kisheria na matokeo yake ikasikilizwa upande mmoja
Kwa hiyo unataka kusema hajashindwa kwa maudhui kwa maana ya uwongo wa habari ila technicalities za ufunguaji wa kesi? Manake naona case yenyewe unasema imesikilizwa ex-parte. Kwanini Kubenea hakumpa Tundu Lissu au Marando?
Naona habari yenyewe imekaa nusu nusu, hebu tuletee habari kamili ikiwemo hukumu ya kesi
Asha