BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameruhusiwa kuondoa kesi ya Tsh. Bilioni 139.8 dhidi ya Richathi Gachagua huku Mahakama ikionya kuwa anaweza kukamatwa tena iwapo ushahidi utapatikana.
Ofisi ya DPP Noordin M. Haji ilituma maombi ya kufuta kesi hiyo kwa madai ya kufunguliwa kwa shinikizo la DCI Mstaafu George Kinoti pamoja na kukosa ushahidi kutoka kwa wapelelezi.
Hivi karibuni DPP amekuwa akipata ukosoaji mkubwa wa ofisi yake kuondoa kesi nyingi za Ufisadi dhidi ya watu mashuhuri wakiwemo Mawaziri.
=====================
A Kenyan court has allowed prosecution’s request to withdraw a 7.4bn shilling ($60m; £53m) corruption case against Deputy President Rigathi Gachagua and nine others. In a ruling, magistrate Victor Wakumile granted the application by the Director of Public Prosecutions (DPP) but warned the accused that they could be re-arrested should investigators find evidence incriminating them.
The DPP’s office had applied to drop the case citing lack of evidence, and blamed police investigators for not concluding investigations. The public prosecutor has recently come under criticism for withdrawing corruption cases against high-profile individuals, including cabinet ministers.
The deputy president had previously denied the charges levelled against him when he was an MP as having been politically motivated.
BBC