Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama hicho.
Kama Mahakama haitaweka zuio la vikao kufanyika, hapatakuwa na maana ya maombi haya kuwepo mahakamani, hivyo mahakama inazuia wadaiwa wa kwanza mpaka tisa kutoratibu mkutano wowote mpaka maombi hayo yatakaposikilizwa" Jaji Kakolaki.