Wakati mwingine ni Sanaa TU,ingekuwa hayo ya metokea chadema Chama kubwa ungesikia vihoja na vituko kama vya COVID-19 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama hicho.
Kama Mahakama haitaweka zuio la vikao kufanyika, hapatakuwa na maana ya maombi haya kuwepo mahakamani, hivyo mahakama inazuia wadaiwa wa kwanza mpaka tisa kutoratibu mkutano wowote mpaka maombi hayo yatakaposikilizwa" Jaji Kakolaki.
View attachment 2348979
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama hicho.
Kama Mahakama haitaweka zuio la vikao kufanyika, hapatakuwa na maana ya maombi haya kuwepo mahakamani, hivyo mahakama inazuia wadaiwa wa kwanza mpaka tisa kutoratibu mkutano wowote mpaka maombi hayo yatakaposikilizwa" Jaji Kakolaki.
View attachment 2348979
Kwi Kwi KwiMahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama hicho.
Kama Mahakama haitaweka zuio la vikao kufanyika, hapatakuwa na maana ya maombi haya kuwepo mahakamani, hivyo mahakama inazuia wadaiwa wa kwanza mpaka tisa kutoratibu mkutano wowote mpaka maombi hayo yatakaposikilizwa" Jaji Kakolaki.
View attachment 2348979
Mzee 30 anavaa rozari halafu anafanya mambo ya kihuni huni