Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mahakama kuu yamlejesha Michael Richard wambula kwenye nafasi zake, yaani umakamu wa Rais pamoja na uenyekiti wa MKOA wa Mara, maana yake ni kuwa Nyamalani anapoteza sifa za kaimu makamu wa Rais wa TFF
Wambura ni shujaa !Wambura anastahili sifa kufika alipofika hapa aisee.. Yaan jamaa anaogopewa na kutengenezewa majungu ya kufa mtu, lakini mwisho wa siku anashinda..
Nakuhakikishia Wambura angekuwepo Taifa stars isingefungwa na BotswanaHonestly, Wambura has never been my cup of tea.
Lakini hili la kupambana na Msomali, nampa Hongera.
Lesotho?Nakuhakikishia Wambura angekuwepo Taifa stars isingefungwa na Botswana
TFF wapigaji.Karia Anamuogopa sana WAMBURA sijui kwa nini.. Huyu ndo anafaa kuwa Rais wa TFF..
TFF wapigaji.Karia Anamuogopa sana WAMBURA sijui kwa nini.. Huyu ndo anafaa kuwa Rais wa TFF..
Nchi haitofungiwa kujihusisha na soka kwa mhimili wa dola kuingilia masuala ya mpira?Lakini Wenye Mamlaka Ya Kumrudisha Madarakani Wambura si ni CAS Pekee Na Sio Mahakama za Jamhuri ya Muungano wa Tz?