Mahakama yamrudisha Wambura TFF

Mahakama yamrudisha Wambura TFF

Mahakama kuu yamlejesha Michael Richard wambula kwenye nafasi zake, yaani umakamu wa Rais pamoja na uenyekiti wa MKOA wa Mara, maana yake ni kuwa Nyamalani anapoteza sifa za kaimu makamu wa Rais wa TFF
MAHAKAMA YATENGUA UAMUZI WA KUFUNGIWA MAISHA MICHAEL WAMBURA . .  Mahakama Kuu y.jpg
 
Lakini Wenye Mamlaka Ya Kumrudisha Madarakani Wambura si ni CAS Pekee Na Sio Mahakama za Jamhuri ya Muungano wa Tz?
Nchi haitofungiwa kujihusisha na soka kwa mhimili wa dola kuingilia masuala ya mpira?
 
Back
Top Bottom