Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wakili Peter Kibatala amesema Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua uamuzi wa awali uliokuwa umemwamuru msanii Webiro Wasira (Wakazi) kumlipa TZS milioni 100 Clayton Chipando (Baba Levo) kwa madai ya kumchafua.
Amesema mahakama imeeleza kuwa hakukuwa na ushahidi uliothibitisha kuwa Wakazi alimkashifu Baba Levo, hivyo kesi hiyo isikilizwe upya katika Mahakama ya Kisutu, mbele ya Hakimu mwingine.
Pia Soma:
Wakazi ahukumiwa kumlipa Baba Levo Tsh. Milioni 100 kwa kumchafua