Mahakama yatengua Wakazi kumlipa Baba Levo milioni 100

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakili Peter Kibatala amesema Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua uamuzi wa awali uliokuwa umemwamuru msanii Webiro Wasira (Wakazi) kumlipa TZS milioni 100 Clayton Chipando (Baba Levo) kwa madai ya kumchafua.

Amesema mahakama imeeleza kuwa hakukuwa na ushahidi uliothibitisha kuwa Wakazi alimkashifu Baba Levo, hivyo kesi hiyo isikilizwe upya katika Mahakama ya Kisutu, mbele ya Hakimu mwingine.

Pia Soma:
Wakazi ahukumiwa kumlipa Baba Levo Tsh. Milioni 100 kwa kumchafua

 
Kesi za namna hii sikumbuki mtu kulipwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…