Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Daaah! Ulichoandika, binafsi sijaambulia chochote!Mkuu we ni mkongwe wa siku nyingi sana humu,hio haraka ya lost nimetoka wapi?enewei hawa masonga wakongwe waendelee kula za uso',Luna yule wa geita niwakuopwa apa bongo
SOMA MFUMO WA MIRATHI YA KIISLAM AMBAO NI BORA KULIKO MFUMO WA DINI NYENGINE AU NCHI YOYOTE DUNIANIMjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi Jacline Tuyabaliwe ametangulia pua baada ya mahakama kutupiliwa mbali rufaa yake .
Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu .
USSR
Bongo inaonekana kuwa 'shamba la bibi', kila mtu anarukuta awezavyo, ingekuwa kule asili yao ndg zake wangeunga kuomboleza nsiba wake wanapomaliza tu msiba wa mzee.Mtaka vyote kwa pupa........ Kwa nchi zisizotaka kelele zisizo na sababu. Kama ile nchi asili yake,tayari nae angetangulizwa. Hasa iwe yeye ni wa huku, halafu anafanya haya kule
angalikuwa muislam na mumewe muislam haya yasingetokea. mke ni mke hata awe mtus. mpare , mnguza madhali ni binadaam anahaki zake. lkn ndio hivyo tenaHuyu mtusi mshamba sana roho mbaya
Waraka unasema eti watoto wapewe buku yaani hii alfu moja.Watu walimshauri akae karibu na watoto wakubwa, aombe kua anapata huduma na ada za watoto, akashupaza shingo sasa ataambulia aibu kubwa, waraka wenyewe umekaa kimchongo sana , mahakama kamwe haiwezi kuuzingatia kabisa
Ni typing errorMkuu sijaelewa umeandika nini ?
USSR
Jack sio maskini toka anazaliwa kazikuta pesa. Hujui background yake.Masikini analadhimisha watoto wa watu waishi kama popo ili yeye aponde raha na madanga yake...........asante mahakama kwa kutenda haki...................hii mijitu ni ya kuogopwa sana
Baba yake alikuwa dr. Mkubwa muhimbili kipindi cha nyerere. Kama humjui nyamaza.Mtaka vyote kwa pupa........ Kwa nchi zisizotaka kelele zisizo na sababu. Kama ile nchi asili yake,tayari nae angetangulizwa. Hasa iwe yeye ni wa huku, halafu anafanya haya kule
Una uhakika jack sio brand???MTU ukipata bahati ya kuwa karibu a smart guy Kama Dr Mengi unbidi kuvuna na kuchota AKILI yake na sio MALI na FEDHA pekee.
Unfortunately watu huwa hawajui hii siri .
Nandi alipata bahati ya kutembea na Ruge mtahaba na Ruge alichofanya alimpa njia za kuishi mjini na kufanikiwa.
The same harmonize kwa diamond.
Hivyo watu wengine hasa wanawake ukipata bahati ya kuwa na kibopa mchote AKILI na maarifa ili hata mkiachana usiterereke kiuchumi.
Just imagine MTU Kama Jack amekaa na Mengi muda wote Ila ameshindwa kujitengeneza kuwa brand na kufanikiwa .
Pasipo hata kupewa urithi kitendo cha kuwa karibu na mengi alibidi kuwa ameshajipata tangu zamani.
Nimjue wa nini?. Inatosha kumjua wewe.Baba yake alikuwa dr. Mkubwa muhimbili kipindi cha nyerere. Kama humjui nyamaza.