Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Mkuu, uhalisia tunaoishinao upo tofauti kabisa. Kuna migogoro mingi kwenye mirathi na haijalishi dini
 
Si alianzisha fremu ya fenicha?
 
Bila waislam wote kumkubali kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein Ibn Ali A.S na mafundisho adhim ya kishia kamwe Palestine haitakuwa huru. NARUDIA KWA MSISITIZO KAMWE PALESTINE HAITAKUWA HURU.

Leo tunajivunia kupewa Tawfeek/Tawfiq (the ability and opportunity to succeed) kwasababu ya Imam wetu alikufa na kukana nafsi kwa kuupigania, kuutetea na kuulinda Uislam ndo maana tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.

Allah azidi kumpa kheri za duniani na Firdaus, amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S.
 
Kwa vile alikua mke halali, basi ndio apewe 99% ya mali za mzee Mengi, halafu 1% inayobaki wapewe wale watoto wakubwa wa marehemu kama waraka wake unavyosema!!! Feminist mna shida sana ya ubongo!!!
Watoto wakubwa walinyimwa kabisa na hicho ndicho kilichobatilisha wosia,ingekuwa wamepewa hiyo 1% wosia ungepita.
 
Mzee Machache kaacha kizaa zaa kwakweli

Nilijua tu kina Regina hawatakubali Jack apate chochote maybe angekuwa ni mwanamke mwingine huyo lakini sio Jack
 
Wapelekee washekhe

USSR
 
Jack sio maskini toka anazaliwa kazikuta pesa. Hujui background yake.
Wewe unaijua inatosha............kama angezikuta pesa asingehangaika na familia ya mengi.........na kuhusu kukaa osterbay kule ilikuwa kwa ajiri ya ajira ya wazazi wake walivyostaafu karudi kukaa kiluvya huko ...........mwambie ajipange hakuna shortcut kwenye maisha.................kama kuzaa wamezaa huko marekani yule model Hadid alizaa na Renault tajiri namba tatu sijui nne duniani mbona asumbuhi..........mwambie kukiwasha atumie brash siku nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…