KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Ighondu mbona wameshindwa kumthibitisha?
Mkuu sasa watamthibitisha kijana wao?:A S 39:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ighondu mbona wameshindwa kumthibitisha?
Taqbir...
Mungu wabariki muamsho.
Mungu ibariki Zanzibar
Oh yeah... naifanyia kazi haswa; hasa ukiangalia Wazanzibari wengi walivyo na ARDHI bara na wakati wabara haturuhusiwi kuwa na ARDHI Zanzibar;
Swali la Kizushi: Hivi kweli uamsho wakijitoa muhanga wakienda mbinguni WANAPEWA MADEM 72 kwa ajili ya kufanya nao mambo fulani?. Kama ni kweli mbinguni basi patakuwa hapatoshi
Mashetani nao umuomba mungu!Mungu wabariki muamsho.
Mungu ibariki Zanzibar
hilo swali kawaulize wale walioamini mungu wao kateswa juu ya msalaba na binaadam aliewaumba yeye mwenyewe
Source ya taarifa ni FACE BOOK?
Mungu Gaidi na mpenda mitala&muumba wa majini yamuabudu!
MAHAKAMA ya Mwanakwerekwe, Zanzibar imefuta kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi kumi wa Jumuiya ya Uamsho, visiwani Zanzibar.
Mahakama hiyo, imefikia uwamuzi huo leo, wakati viongozi hao walipofikishwa Mahakamani hapo.
Hii ni kwa mujibu wa taarifa fupi niliyoibandua kutoka ukurasa wa facebook iliyowekwa na Hamed Mazrui.
Kwa hivyo: Kutokana na hatua hio, viongozi hao sasa watakuwa wanakabiliwa na kesi inayoendelea katika mahakama kuu ya Vuga, mjini Zanzibar.
Mara ya mwisho viongozi hao wa Dini, walipofikishwa mahakama kuu, chini ya Jaji Fatma Hamid, kesi yao ilipangwa kusikilizwa tena Aprili 11, mwaka huu.
Jaji Fatma, aliuagiza upande wa mashtaka kupeleka mahakamani kwa maandishi, ombi la kuzuia kutolewa kwa dhamana kwa washtakiwa hao.
Jaji huyo aliongeza: Licha ya kwamba upande wa mashtaka umekata rufaa kuzuia kusikilizwa kwa ombi la dhamana, mahakama itaendelea kusikiliza kesi ya msingi pamoja na dhamana inayohusu viongozi hao.
Upande wa Mashtaka katika kesi hiyo unaongozwa Ramadhan Nassibu na Raya Msellem, huku upande wa utetezi unaongozwa na wakili, Salim Towfiq.
ardhi wanazo uk seuze tangayika na pia fahamu hawakuzipata bure hizo
Mashetani nao umuomba mungu!
Mungu Gaidi na mpenda mitala&muumba wa majini yamuabudu!
Hii ni taarifa halisi, nimeiona katika gazeti la serikali, Daily News. Swala la DPP kutokuwasilisha vielelezo ndio limenifanya nitafakari kidogo, ila kwa sababu mimi sio Detective naona ninyamaze. Serikali kuwakamata watu, kisha kushindwa kuwasilisha vielelezo vya madai ni kujitukana yenyewe. Hivi hapa wananchi wakilalamikia serikali kushindwa kujisimamia watakuwa na kosa kweli? Serikali imeingia gharama kuwatunza hao jamaa, kuwalinda, kuwapandisha kizimbani, achilia mbali gharama za magazeti na vyombo vingine vya habari kuandika - gharama ambazo hulipwa na wananchi kwa kununua habari hizo, alafu eti DPP hajawasilisha vielelezo!!! Tukisema kashinikizwa asifanye hivyo tutakuwa tunakosea? Hawa jamaa hata dhamana walinyimwa kwa kuzingatia unyeti wa swala lenyewe, yaani kwa evidences zilizo waziwazi kabisa, alafu eti DPP kashindwa kuwasilisha vielelezo. Duh, tuna safari ndefu sana na usalama wa raia uko rehani