Mahakama za Kenya zatumia teknolojia ya Skype kuendesha mashtaka

Kuna watu hapa wanatia huruma, wanachanganya dhana za e-governance na open-governance, bila kuelewa associated cybersecurity and espionage risks.
Ni hatari sana kwa Idara zozote za serikali kutumia skype au mitandao mingine isiyo milikiwa na serikali kufanyia shughuli za kiselikali.
Hii mitandao sio salama kabisa, msifurahie ujuha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL hii technology ipo kwenye almost kila office ya central government toka siku kibao


Hii ni certain government office Dodoma

 
LOL hii technology ipo kwenye almost kila office ya central government toka siku kibao


Hii ni certain government office Dodoma

View attachment 1405004View attachment 1405005View attachment 1405006View attachment 1405007

Halafu mnadhihirisha ujinga, mnatusema kisa tunatumia Skype mahakamani ilhali nyie hapa kwa picha unatutambia government office Dodoma mnatumia Zoom, bora hata Skype inamilikiwa na Microsoft na imekua na seamless integration na bidhaa zote za Microsoft ambazo hutumiwa kila siku na kila taasisi, itawachukua muda sana kuelewa haya mavitu, I make a living off using these stuffs everyday.
 
LOL e government facilities zinampa mtu ambae yupo nje ya mfumo kushiriki kwa kutumia applications tofauti zinazohusiana na visual conferencing, Angalia hiyo miundombinu iliyofungwa kwenye hiyo office ya serikali na sio URL ya PC.


Na isitoshe hapo kaungwa mpaka participant aliepo Europe pia ambapo na penyewe pako beyond our hardware e government systems.
 
Kuna watu hapa wanatia huruma, wanachanganya dhana za e-governance na open-governance, bila kuelewa associated cybersecurity and espionage risks.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unatupia maneno unayojua maana yake kweli au unachangia ili uonekane na wewe upo.
Ulichoweka hapo kinahusiana vipi na mada husika.
Kwanza kabisa Skype inatumika pakubwa sana kwenye biashara na taasisi za kiserikali, cha msingi ni kuhakikisha mnatumia "Skype for business version".
Masuala ya e-government Kenya ilianza kitambo sana nakumbuka 2004 tulikua tumepiga hatua. Kwa kifupi hapa Afrika labda Afrika Kusini ndio wana hadhi ya kutusema likija suala la teknolojia hizi. Nyie ndio hata msisikike mkiongea chochote.
 
Pwaaahahaha tuoneshe serikali kuu yenu ikitumia hizo facilities kwanza

Acha maneno ya kanga weka ushahidi
 
When these bozos were begging south africans to get a piece of the EASSy cable we were getting our own TEAMs cable and yet they have the guts to brag to Kenyans about video conferencing. The f*ck do they think we were doing when we decided to get our own cable?

MK254, why even bother, let the keyboard clown warriors dance in their own ignorance
 
u have fiber optic cable yet none of ur courts r connected using skype in this World of cybercrime! Do u listen to urself how stupid do u sound? Fool as far as eGovernment is concerned, u r way behind!
 
Its is your f*kin brother who started this.. bragging of Skype teleconferencing [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
u have fiber optic cable yet none of ur courts r connected using skype in this World of cybercrime! Do u listen to urself how stupid do u sound? Fool as far as eGovernment is concerned, u r way behind!
 
Its is your f*kin brother who started this.. bragging of Skype teleconferencing [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Homeboy posted some very average news article but your insecurities couldn't let it ride so you got easily triggered and spewed all your guts out here.

Forget corona.... insecure nigqas is the real pandemic, no cap
 
Tz uses Cisco enterprise Video confrencing..Skype is a no no..You should be calling out Ke Judiciary for using such silly mass software for Governement Job
 

Unchekesha wewe, sasa hapo kuna miundo mbinu gani zaidi ya screen iliyokua projected na laptops zote zimeungwa kwa mfumo wa Zoom.
 
Unchekesha wewe, sasa hapo kuna miundo mbinu gani zaidi ya screen iliyokua projected na laptops zote zimeungwa kwa mfumo wa Zoom.
πŸ˜‚πŸ˜‚
Angalia hiyo setup chini ya hiyo screen kwenye office ya wizara Dodoma

Yaani bado nakuletea tu ushahidi kwamba haya mambo kwenye office nyingi za serikali ni a must infrastructure


Wewe vipi mbona ni maneno tu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kuwa serious wacha mzaha, yaani screen kwa ukuta ndio setup zinazokushangaza, hivyo mbona vitu vidogo sana ambavyo ukitaka nikuletee nitajaza server bure, labda nitafute kitu konki kama vile dubwana la Cisco.
Lakini kama tatizo lako ni screens, hizi hapa chache







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…