Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Kuna Dr. moja amejaribu kuchanganya dawa za hydroxychloriquine na azithromycin na waathirika wengi wamekuwa wakipona. Pia nasikia China wamekuwa wakiwapa wagonjwa wao concentrated liquid zinc.LOL hata dawa ya Corona kwa sasa ipo kwenye majaribio