Kuna Dr. moja amejaribu kuchanganya dawa za hydroxychloriquine na azithromycin na waathirika wengi wamekuwa wakipona. Pia nasikia China wamekuwa wakiwapa wagonjwa wao concentrated liquid zinc.LOL hata dawa ya Corona kwa sasa ipo kwenye majaribio
China ilishapata dawa tayari, ona rate ya recovery ilivyokubwa kwaoKuna Dr. moja amejaribu kuchanganya dawa za hydroxychloriquine na azithromycin na waathirika wengi wamekuwa wakipona. Pia nasikia China wamekuwa wakiwapa wagonjwa wao concentrated liquid zinc.
Hawa wemeanza level seat jana imekua n kamaNimekuambia mara kadhaa huwa mpo nyuma yetu kwa kila hatua, hamuna ubavu wa kuendana na sisi kwa lolote, kila mnachokifanya sisi tulikua tumekifanya na kuanzisha, video yako hiyo inasema "mtaanza", sisi tulishaanza mahakama kadhaa kwetu sasa ikiwemo Malindi na kote zinatumia mfumo huu.
Tulianza hata kabla Corona haijanusia Kenya.
Eti Skype ndio ya kuringia hapa JF, tena utakuta ni Skype free version!, watu wengine wanatia huruma sana 🙂