johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanasheria wasomi tunaowategemea watufikishe huko wanakimbilia kuwa mashoga huko ughaibuni. Kweli tuna Safari ndefu.Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
viongozi wenye Omani za kikomunisti + Africanicity (uchawi) hawawezi kufanana na wrnye misingi ya kibebari, UNLESS WANANCHI WAAMUE.
Badilisha ID yako haendani na ulichokiandika mana kama hukuelewa yaliyotokea wewe ni kichaaWanasheria wasomi tunaowategemea watufikishe huko wanakimbilia kuwa mashoga huko ughaibuni. Kweli tuna Safari ndefu.
Naona umeshaelewa.Badilisha ID yako haendani na ulichokiandika mana kama hukuelewa yaliyotokea wewe ni kichaa
Huwezi kufika huko na CCM hii unayoishabikia hapa kila siku!Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hamia huko.Watanzania wanataka zaidi more food on the table,mambo ya mahakama ni yenu wachumia tumbo.Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Toka mwaka 1961 mpaka leo bado mmeshindwa kuwafanya watz wawe na more food on the table?Hamia huko.Watanzania wanataka zaidi more food on the table,mambo ya mahakama ni yenye wachumia tumbo.
IKo hivyo kwa sababu wote hao ni CCM. Kila mmoja wa hao wateule anapigania chama hicho ili aendelee kushiba.Bado tanzania ni mwanafunzi kwa kenya!!! Kenya kwenye swala la uhuru na haki kwenye mahakama wapo fair sana, hapa hata hatumjui jaji mkuu , maana anaonekana tu kwenye matukio maalumu
Unataka mahakama huru hapohapo unapinga KATIBA MPYA .. yaani ukiwa ccm lazima uwe kia.zNimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Wacha kulinganisha watu wenye akili kubwa na mautopolo! Hivi unaiona akili ya Mwigulu? Unaiona akili ya Ndugai iko sawa hiyo?Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Wapi nimepinga katiba mpya au mbege imekolea?!Unataka mahakama huru hapohapo unapinga KATIBA MPYA .. yaani ukiwa ccm lazima uwe kia.z
Ninyi hata ofisi imewashinda kujenga,nchi ndio mtaiweza.Bakini kuwa mawakala wa CIA,ila tukiwastukia cha moto mtakiona.Toka mwaka 1961 mpaka leo bado mmeshindwa kuwafanya watz wawe na more food on the table?