Mahakama za Kenya ziko huru sana natamani Tanzania tufike huko!

Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.

Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kwa Judges hawa ambao hawana exposure yoyote hawajawahi kutoka nje ya Tanzania
 
Only Katiba mpya ndiyo itakuwa chachu ya kuhakikisha Mahakama zetu zinakuwa HURU. Kwa sasa genge la wahuni wa maccm wanaitumia mahakama kama kitengo chao cha kufanya maovu yao mbali mbali. Naamini kwamba tungekuwa na mahakama HURU leo hii Mbowe, Viongozi wengine wa Chadema na wanachama WASINGEKUWA lupango.
.

Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.

Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Ninyi hata ofisi imewashinda kujenga,nchi ndio mtaiweza.Bakini kuwa mawakala wa CIA,ila tukiwastukia cha moto mtakiona.
Nyie rasilimali zote zimekuwa chini yenu kwa miaka 60 mpaka Leo cc ni taifa maskini you have failed our state ndio maana hamtaki time huru Wala katiba mpya
 
mahakama nomaa mazeee...kenyata na raila wamebaki vinywa waziiii😅😅
IMG-20210820-WA0012.jpg
 
Nyie rasilimali zote zimekuwa chini yenu kwa miaka 60 mpaka Leo cc ni taifa maskini you have failed our state ndio maana hamtaki time huru Wala katiba mpya
Sisi wenzenu tumejirekebisha,sasa kazi tu.Yaliyo pita si ndwele,tugange yajayo.Sasa ndio maana mmeamua kuwa CIA operatives na kuisaliti nchi?
 
Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.

Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.

Mungu ni mwema wakati wote!
Unatamani vipi mchakato wa katiba mpya wakati kwenye kuidai mnajitoa na kuzodoa wanaoidai? Kenya haikufika hapo kwa lelemama,
 
Ninyi hata ofisi imewashinda kujenga,nchi ndio mtaiweza.Bakini kuwa mawakala wa CIA,ila tukiwastukia cha moto mtakiona.

Huenda huoni ofisi zinazojengwa, ama hizo ofisi za urithi ndio zinakupa kiburi?
 
Sisi wenzenu tumejirekebisha,sasa kazi tu.Yaliyo pita si ndwele,tugange yajayo.Sasa ndio maana mmeamua kuwa CIA operatives na kuisaliti nchi?
Unaongea utoto gani dogo?
 
Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.

Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.

Mungu ni mwema wakati wote!
Hapo bado mtakubali serikali ya kenya na kuikana yenu maana chini ya ccm hakuna lenye kuwanufaisha watanzania.
 
Ninyi hata ofisi imewashinda kujenga,nchi ndio mtaiweza.Bakini kuwa mawakala wa CIA,ila tukiwastukia cha moto mtakiona.
Halafu ndiyo mnataka tufanane na Kenya wakati mawazo yako ndiyo haya
 
Back
Top Bottom