Kwa Judges hawa ambao hawana exposure yoyote hawajawahi kutoka nje ya TanzaniaNimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kwani nani hakufahamuWapi nimepinga katiba mpya au mbege imekolea?!
Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Nyie rasilimali zote zimekuwa chini yenu kwa miaka 60 mpaka Leo cc ni taifa maskini you have failed our state ndio maana hamtaki time huru Wala katiba mpyaNinyi hata ofisi imewashinda kujenga,nchi ndio mtaiweza.Bakini kuwa mawakala wa CIA,ila tukiwastukia cha moto mtakiona.
Sisi wenzenu tumejirekebisha,sasa kazi tu.Yaliyo pita si ndwele,tugange yajayo.Sasa ndio maana mmeamua kuwa CIA operatives na kuisaliti nchi?Nyie rasilimali zote zimekuwa chini yenu kwa miaka 60 mpaka Leo cc ni taifa maskini you have failed our state ndio maana hamtaki time huru Wala katiba mpya
Unatamani vipi mchakato wa katiba mpya wakati kwenye kuidai mnajitoa na kuzodoa wanaoidai? Kenya haikufika hapo kwa lelemama,Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Ninyi hata ofisi imewashinda kujenga,nchi ndio mtaiweza.Bakini kuwa mawakala wa CIA,ila tukiwastukia cha moto mtakiona.
Unaongea utoto gani dogo?Sisi wenzenu tumejirekebisha,sasa kazi tu.Yaliyo pita si ndwele,tugange yajayo.Sasa ndio maana mmeamua kuwa CIA operatives na kuisaliti nchi?
Hapo bado mtakubali serikali ya kenya na kuikana yenu maana chini ya ccm hakuna lenye kuwanufaisha watanzania.Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Bila kuiondoa ccm msitegemee kupiga hatua yoyoteTuna safari ndefu kufika huko.
Kuiondoa CCM siyo lelemama bwashee!Bila kuiondoa ccm msitegemee kupiga hatua yoyote
Ni kuiondoa ccm na watu wakeKuiondoa CCM siyo lelemama bwashee!
Halafu ndiyo mnataka tufanane na Kenya wakati mawazo yako ndiyo hayaNinyi hata ofisi imewashinda kujenga,nchi ndio mtaiweza.Bakini kuwa mawakala wa CIA,ila tukiwastukia cha moto mtakiona.
Zipo huru kula rushwaNimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI.
Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hapana manka!johnthebaptist si hukumu yeyote inayo I fever serikali ya CCM kwako ni huru na ya haki!
Kwa akili hii kuna mtu hapaHapana manka!
Si Mbowe alisema chanjo lazima,sisi hatujasema lazima.Halafu ndiyo mnataka tufanane na Kenya wakati mawazo yako ndiyo haya
Ndio ni kweli,ninyi ni CIA operatives and sleeper agents.Halafu mimi sio dogo,retrieve your words.Unaongea utoto gani dogo?