Mahakama zetu hatari sana zinatumika

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Leo ni siku ya sheria/mahakama, lakini kwa hakika huduma za mahakama zimekuwa ghali mno na kuna usanii mwingi tu. Naweza kukumbuka kesi moja ya Rage, huyu mbunge aliyekuwa katibu wa TFA.

Rage alifanya ufisadi kisha akafungwa na mahakama ya Kisutu baada ya kumaliza kifungu chake sb alikuwa ameshachora deal kwenye siasa eti akakata rufaa mahakama kuu then ikasema eti alifungwa kimakosa!

Sasa aliyetoa ushahidi uliomfunga anasema mpaka leo kuwa Rage alibadilisha risiti na kuongeza tarakimu, hii ndio Tanzania. Ipo siku upumbavu huu utakomeshwa hata kwa damu yangu.
 
Tanzania ya Kiwete ,wauza unga ndio wabunge na wezi wa mali ya uma pia wabunge!!! Mpaka katiba ya nchi inaandikwa na kusimamiwa na wezi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…