Mahakama zetu na Magereza wanatuangusha kama nchi

Mahakama zetu na Magereza wanatuangusha kama nchi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kitendo cha magereza kusema wameshidwa kuwaleta watuhumiwa kwasababu ya tatizo la usafiri ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Hizi kesi kama hii ya Mbowe inaonyesha upungufu mkubwa wa mtandao wetu wa kutoa haki. Yaani magereza wanaweza wakapewa hata mwezi halafu wanakuja na visingizio vya kijinga ili wamlipizie kisasi mtu ambaye hata kesi haijasikilizwa.

Kwa wale wanao unga mkono hii na kufurahia wasije kufikiri wanasaidia nchi au ni uzalendo. Uzalendo ni pale ambako haki zinatendeka kwa kufuata sheria za nchi. Leo hii tunataka wawekezaji sasa mwekezaji gani atakuja kama mtu yeyote anaweza kumshitaki halafu kesi zinachukua miaka kusikilizwa sasa biashara gani itakuwa na uwezo wa kuvumilia hivi vitu vyote
 
Back
Top Bottom