Huenda mahakimu wanakuaga na upande wao. Vipi kama hao mahakimu watano ni wa upande wa pili na wale wawili ni wa upande mwingine.
Sababu haiwezekan kama humu humu tulikuwa tunasifia tume ya uchaguz ya Kenya kuwa ni tume huru na ya kuigwa. Hiyo hiyo tume imetangaza upupu kwa mujimu wa mahakama za nchi yenye democracy ya kuigwa Africa according to members fulan fulan humu ndani. Tuwe na akiba ya maneno wakuu, ni hayo tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada umesoma katiba ya nchi yako?HAbari wanajukwaa!
Nimefuatilia kwa karibu usomwaji wa kesi na maaamuzi ya mwisho katika kesi ya msingi iliyofunguliwa na Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya NASA kupinga matokeo ya uchaguzi, na kugundua kwamba kuna haja wa mhimili wetu wa Mahakama nchini Tanzania kujifunza kitu kutokana na kilichofanywa na jopo la Majaji 7 kutengua uhalali wa matokeo ya uchaguzi ambayo yalimpatia nafasi tena ya kuongoza Rais Kenyata. Maamuzi ya Majaji wetu yazingatie uhalisia wa Mambo na weredi, wasifanye maamuzi kuridhisha Tabaka tawala.
Aksante.