Mahakamani: Aliyemchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa anatajwa kuwa mlemavu wa akili

Anyongwe kwanza labda akili itamkaa sawa!
 
Wagonjwa wa akili ni wengi sana ata yule aliyechoma picha ya mhe. Rais ukimuona tu unajua anashida kichwani.
 
Kwa ripoti hii ya kitabibu, Mtuhumiwa huyo Tayari yuko huru.
 
skanka noma sana!!
 
Ukiwa na kauwezo utawekewa njia ya lami upite, unaua, unanunua magunia ya mkaa kumchoma moto kisha unayafukia majivu na unapanda mgomba juu yake! Kwinini ni ngumu kumeza hata ukiichanganya na asali.
Ndugu wa marehemu tafuteni haki kupitia uchunguzi binafsi wa ziada.
 
Temporal insanity au permanently insane?, ila hata hao madokta wa Milembe waliompima, akija mtu akawapima, na wao watakuwa na matatizo ya akili. Mazingira hum-shape mtu.

Haya, na yule padri aliyeua mwanae Albino kule kagera mahakama imesema akapimwe akili.

Though that is just an expert opinion, not binding to the court. The court will have an opportunity to make an evaluation of its own.

Kazi ya defence ni kutoboa ushahidi wa upande wa mashitaka, and in criminal cases, proof is beyond reasonable doubt.
 
Inanikumbusha kesi maarufu ya miaka ya 80, ya Asha Mkwizu aliyemuua mke mwenza, wkt radio ni moja tu RTD na magazeti ni ya chama na serikali tu pamoja na la Mfanyakazi la Juwata tunapatia habari kule mikoani tulipokulia. Ilikuwa namna hii, naona pia ya padri kule Kagera nayo wanataka kuipeleka hukuhuku! Anyway pesa inaweza kuinfluence chochote kwenye any shithole country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…