Mahakamani: Aliyemchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa anatajwa kuwa mlemavu wa akili

Kwahiyo mtu akifanya kosa kama mauaji asihukumiwe hadi mjue chanzo chake kwa lugha nyingine kuua ni sawa so long as chanzo ni halali?
Ungesoma upya nilichokiandika yawezekana ungeipata maana yangu.Sijahalalisha uliwazalo.
 
Unadhani waliorukwa akili wote hawavai nguo? Hawakwepi magari barabarani? Hawajitafutii kipato?

Anyways, sitetei upande wowote. Najaribu kuwaza kumsauti tu, mkuu.
ila hawafanyi biashara, na kuzisimamia vizuri tu.
 
Mipango yoote matayarisho yoote yale, mpaka kuzika vipande kule shamba. Mmh sidhani akili iliruka labda huko gerezani ndiyo ilifyatuka.
Hata namna alivyokuwa anatumia simu ya marehemu baada ya mauwaji kutuma msg huku yeye ndio akiwa na simu inaonyesha alikuwa anajua afanyacho
 
Duuh
 
Ripoti kama hizo kwa sasa nchini kwetu si za kuaminika kwa sababu ya rushwa ilivyotamalaki lakini pia wakati mwingine Wataalamu wetu kukosa weledi wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…