Mahakamani: Hatma maelezo ya mke wa Bilionea Msuya kujulikana leo Februari 21, 2022

Mahakamani: Hatma maelezo ya mke wa Bilionea Msuya kujulikana leo Februari 21, 2022

Dah! Kuna umuhimu wa kutengeneza mazingira mazuri ya wosia kwa ajili ya wapendwa wetu, kabla ya kuondoka hapa duniani.

Ona sasa mke wa marehemu anateseka gerezani kwa kushutumiwa kumuua kikatili wifi yake! Familia itakuwa imeparanganyika! Kisa mali!
ni kitu kizuri japo tunatakiwa kufundisha watoto wetu kutafuta vya kwao na kuona cha mtu ma** ili wasiwe na tamaa kiasi hichi.
Hofu ya Mungu nayo ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom