Tetesi: Mahakamani leo: Hii nimeikuta mahali. Mwenye fununu atujuze

Unategemea nini kwa unprofessional organization?
 
Kwahiyo ahirisho la jana lulikuwa zuga?
 
Hiyo kesi si imeahirishwa mpaka julai🤔?
 
Ivi haiwezekani akagomea kuachiwa ?
 
Daaah nikikuwa mnazi mmoja pale naona farasi km kumi hivi wanaenda road ya Bibi titi. Na polisi kibao wenye silaha na wasio na silaha. Nchi imekwisha hii Tanganyika yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…