Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Tatizo atatumikia vifungo vyote kwa pamoja, atakaa 20 yrs kwa mtakaokuwepoTayari ana 30 mkononi,apigwe 60 ili awe na 90.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo atatumikia vifungo vyote kwa pamoja, atakaa 20 yrs kwa mtakaokuwepoTayari ana 30 mkononi,apigwe 60 ili awe na 90.
Hapana nahisi mawakili wa serikali wamempa option dogo. Amkaange Sabaya na yeye atatoka mapema au asifungwe kabisa.SABAYA aliwekewa pandikizi bila yeye kujua!
ndio hilo linapita kuumbua na litarud mtaan
Wakitoka nje mtaani, sabaya anaweza kumteka!
Tatizo atatumikia vifungo vyote kwa pamoja, atakaa 20 yrs kwa mtakaokuwepo
Tutasikia mengiShahidi wa 6 katika kesi ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha haramu na kumiliki Genge la Uhalifu inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro...
Safi sana Watson Kwa kukataa script uliyoandaliwa na Wakili wako ili kuficha ukweli.Shahidi wa 6 katika kesi ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha haramu na kumiliki Genge la Uhalifu inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya {35} na wenzake sita...
Ila mahakama zetu si zipo huru?Shahidi wa mchongo.
General Sabaya ni noma.Chuga kutolewa wenge unazabwa makofi kwenye masikio yote mawili kwa wakati mmoja huwa wanaita 'headphone'
Nilikamatwa maskani nikawa mzito kutoa rushwa polisi mmoja alinipiga hiyo headphone nikabaki nasikia zzzzzzzzzzzz
Hili ndiyo wenge alilotolewa huyu shahidi kwa maelekezo ya general sabaya.
Tuione aiseePicha ya Mwahomange tafadhali[emoji23]
Kama Kesi ya Mbowe ingeendelea ingefika level hiiDuh..
NI kama kichaa kakabidhiwa shoka!
Kesi ya Mbowe haikuwa na Ushahidi zaidi ya kuungaunga tu ndio maana Mashahidi wenyewe Ushahidi wao haukuwa na mtiririko,mashahidi waliishia kuchafua vyoo vya Mahakama tu kila mara kwenda kujisaidia,hapa kijana kaona afunguke tu ukweli aokoe nafsi yake,Jela sio kuzuri hata kidogoKama Kesi ya Mbowe ingeendelea ingefika level hii
Sabaya anatakiwa awe na pingu mikononi na miguu muda woteBaada ya Sabaya kuwakana wasaidizi wake kuwa hawajui, sasa nao wameanza kujibu mapigo. Leo mmoja wa mabaunsa wake aitwaye Watson Mwahomange ambaye ni mtuhumiwa pamoja na Sabaya katika Kesi ya Uhujumu Uchumi ameiambia mahakama kuwa Sabaya ni mtu hatari na kwamba aliwatumikisha mabaunsa wake kama mateka.
Katika maelezo yake Watson amesema wakati akifanya kazi na Sabaya, ikitokea ametuhumiwa jambo alipigwa sana na hakuruhusiwa kusema popote. Amesema Sabaya kwa kushirikiana na askari polisi wilaya ya Hai wamewahi kumpiga hadi akazirai. Ameiomba Mahakama imuongezee ulinzi atakaporudi Mahabusu maana Sabaya anaweza kuunda genge la kumshughulikia huko gerezani, baada ya kuweka wazi maovu yake.
By Malisa