Mahakamani: Msaidizi wa Sabaya amkaanga ile mbaya, adai ni mtu hatari sana

SABAYA aliwekewa pandikizi bila yeye kujua!

ndio hilo linapita kuumbua na litarud mtaan
Hivi kweli kwa ujinga aliokuwa akiufanya hadharani, vile kulikuwa na haja ya kumuwekea pandikizi?!!nitakuwa wa mwisho kuliamini hilo, uchafu wote ulikuwa hadharani, ni nani Moshi/arusha alikuwa haujui?sema mfumo ndio ulikuwa unamlinda tu.
 
Yaani huwezi amini Rais wa nchi aliyabariki matendo ya Sabaya na wenzake wa aina hiyo.
Mungu mkubwa.
Na wengine wenye mamlaka waliobaki wakifanya matendo maovu dhidi ya Watanzania siku isiyojulikana watafutika kwenye uso wa dunia.
 
Alikuwa nani hapo Kibaha? Watu wanamna hii ni kuweka details zao hadharani kila mtu amjue
Yuko nyumbu jeshini kama intelligence officer wa kikosi (IO).

Alijitaidi Sana kubambikia watu kuwa wanamtukana magufuri na kuwa Wana mipango ya kulipua Kwa mabomu mikutano ya compaign ya ccm kipindi Cha uchaguzi 2020.
 
Anayekula bi mdashi anatakiwa asimamie kucha kweli kweli na mikunjo ya ukweki hadi jiwe afe tena kwa wivu huko aliko.
 
So bure Sabaya alikuwa na vinasaba na ibilisi joka kuu. Hii roho ya kinyama aliipata wapi kuterorise watu kuasi hiki?
 
Hawa ni vijana wadogo tu....huu unyama walijifunzia wapi?
 
Maaake ncheke kwanza...
 
Ataishiji sasa mwenyewe katoka!
 
Bado anaendelea na kesi zake nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…