kosa limefanyika....na ukweli unafaamika lkn ukifika mahakaman unatafta wakili atakayetetea uovu wako.
kimsingi yy yupo kimaslah lkn hebu nao wawe na huruma.......unakuta wakili anajua ukweli wote .. lkn ansimama kumkandamiza mwenye haki.
hebu kuwen na utu bas....